Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Mwanamke anapenda mwanamme mwenye mvuto , huko kwingine anafata za matumizi , believe me nakwambia , mi Hz mambo nakumbana nazo Sana , ukiwa na mvuto unahtaji visent vidogo tuu vya kung'aa mademu wanashoboka kinoma , wawe wake za watu , au vibinti vya mtaani , nilipataga demu mzuri kinoma mmeru hv Mitaa ya Kibamba , Demu alikuwa anang'aa kinoma , mzuri nice chick ngozi laini aisee,

Kumbe ana pedeshee la mjini , akawa anakuja ofsini kutoa pesa halopesa mana huyo Bwana wake alikuwa anamtumia kupitia halopesa , Leo anatumiwa laki tano kesho laki nne , jamaa anatuma pesa kama maji , cha kushangaza mi demu nikawa namhonga ice cream ya 2000 [emoji16][emoji16][emoji16] akawa akipika msosi ananiletea ....... Daah nilienjoy Sana [emoji3]

Mi huwa nawachora tuu watu humu wanasema ooh mwanamke anataka pesa , tafuta hela , Hamna kitu , ukiona hvyo jua umeparamia chaka bovu
Mwanaume rijali huwa hajisifu sijui navutia/ mrembo!! Hiyo Ni dalili mbaya.

Alafu mwanamke Ni kiumbe complex Sana kumfahamu Ni ngumu
 
Mwanamke anapenda mwanamme mwenye mvuto , huko kwingine anafata za matumizi , believe me nakwambia , mi Hz mambo nakumbana nazo Sana , ukiwa na mvuto unahtaji visent vidogo tuu vya kung'aa mademu wanashoboka kinoma , wawe wake za watu , au vibinti vya mtaani , nilipataga demu mzuri kinoma mmeru hv Mitaa ya Kibamba , Demu alikuwa anang'aa kinoma , mzuri nice chick ngozi laini aisee,

Kumbe ana pedeshee la mjini , akawa anakuja ofsini kutoa pesa halopesa mana huyo Bwana wake alikuwa anamtumia kupitia halopesa , Leo anatumiwa laki tano kesho laki nne , jamaa anatuma pesa kama maji , cha kushangaza mi demu nikawa namhonga ice cream ya 2000 😁😁😁 akawa akipika msosi ananiletea ....... Daah nilienjoy Sana 😀

Mi huwa nawachora tuu watu humu wanasema ooh mwanamke anataka pesa , tafuta hela , Hamna kitu , ukiona hvyo jua umeparamia chaka bovu
Kama hahitaji hela kwa huyo pedejee. Unadhani alikuwa anafata nini!?
 
Hebu nisaidie na wewe ajabu wanaokomalia ni wanaume ika wanaume wa siki hizi ni mizigo walahi
Inashangaza sana na hapo wamesikia story tuu hawajawahi kuingia leba...hzi story za kusikia sikia hizi ni shidaa...kuna mtu hapo juu anasema mtu akipush lazima anye...How??? Labda kama alikua amekula na ndani ya masaa 12 b4 uchungu hakupata choo so uchungu unapoanza hapo ndo possibility ya kunya ni kubwa...lakini from no where tu unye labda una tatizo kubwa kwenye sphinter masozi zako...
 
Mwanamke anapenda mwanamme mwenye mvuto , huko kwingine anafata za matumizi , believe me nakwambia , mi Hz mambo nakumbana nazo Sana , ukiwa na mvuto unahtaji visent vidogo tuu vya kung'aa mademu wanashoboka kinoma , wawe wake za watu , au vibinti vya mtaani , nilipataga demu mzuri kinoma mmeru hv Mitaa ya Kibamba , Demu alikuwa anang'aa kinoma , mzuri nice chick ngozi laini aisee,

Kumbe ana pedeshee la mjini , akawa anakuja ofsini kutoa pesa halopesa mana huyo Bwana wake alikuwa anamtumia kupitia halopesa , Leo anatumiwa laki tano kesho laki nne , jamaa anatuma pesa kama maji , cha kushangaza mi demu nikawa namhonga ice cream ya 2000 😁😁😁 akawa akipika msosi ananiletea ....... Daah nilienjoy Sana 😀

Mi huwa nawachora tuu watu humu wanasema ooh mwanamke anataka pesa , tafuta hela , Hamna kitu , ukiona hvyo jua umeparamia chaka bovu
Umeparamia chaka bovu
 
Inashangaza sana na hapo wamesikia story tuu hawajawahi kuingia leba...hzi story za kusikia sikia hizi ni shidaa...kuna mtu hapo juu anasema mtu akipush lazima anye...How??? Labda kama alikua amekula na ndani ya masaa 12 b4 uchungu hakupata choo so uchungu unapoanza hapo ndo possibility ya kunya ni kubwa...lakini from no where tu unye labda una tatizo kubwa kwenye sphinter masozi zako...
Inawezekana kunya najua hilo lakini sio wote sasa wao wanakomaa eti ni lazima,,

Michezo ya kulana nyuma nayo inachangia sana watu kunya kwenye uzazi🙌🙌waanzishe mada tuchangie hoja ila tutauliza mwanaume uanyajuaje ya leba
 
Back
Top Bottom