Haji Manara ndiyo kaenda Marekani kwa mara ya kwanza nini?

Mwacheni afurahie maisha bhana...na pia kada aliyopo inamruhusu....Arusha mapicha picha it's ok
 
Kipofu kaona jua
 
Ikiwa ni mara ya kwanza au ya 100 wewe unahusikaje?

Kweli umeona hili ni Jambo la kujadili?

Mkuu LIKUD tubu
 
Kama niliwahi kusoma sehemu, zamani kidogo, kuwa baba'ke Haji Manara ni katika wachezaji mpira wa mwanzo wa Tanzania waliowahi kucheza mpira Ulaya (Uholanzi) na baadae USA na Australia halafu UAE.

Haji alikuwa anaishi na wazazi wake.

Labda hajaenda toka utotoni kama aliishi huko na wazazi wake.
 

Alizaliwa Amsterdam alikuja akiwa mdogo sana yes inawezekana alienda akiwa mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…