Kumbe na wewe ni kizibo tu, hujui mengi kuhusu mamlaka ya askari magerezaKwa 90% Haji Manara yuko sahihi kabisa. Inaonekana anajua sheria na akaamua kusimama katika sheria.
Askari Magereza hana mamlaka yoyote ya kumkata au kumuamuru raia, mamlaka yake yapo gerezani kwa wafungwa na mahabusu.
Tz tunahitaji wakina Haji Manara wengine kama 100 hivi.
Too lateHawa machawa wa viongozi na Lumumba + pale makumbusho kwasababu ya kutumika kwao kukisaidia chama chetu basi nao hujiona wanahati mmiliki ya kufanya lolote lile.
Tuweke mipaka na kuchora mstari kwenye suala zima la discipline kwa jamii bila kujali cheo au dhamana uliyonayo.
CCM wamemfugaHuyu haji manara mdomo wake ni mchafu anajikuta ana mamlaka ya kumtusi na kumdhalilisha yeyote kama kesi ilikuwa na magereza wafungwa wamefuata nini anasahau naye kesho anaweza kuwa mfungwa.
Na hao kituo cha sheria za haki za binadamu hatusikii wakikemea kitu wafungwa wapo kutumikia makosa yao sasa kama haji kakoromewa na magereza ya nini awadhalilishe na wafungwa
Mtu huyu hastahili huruma kwa ule ulemavu wake achukuliwe hatua tu!
Haji Manara ni nani katika nchi hii!
CCM imetufikisha hapo dahJiunge hapo!
Huo ni UNYANYAPAA LIVE kwa sababu alichosema au kufanya Manara kinaweza kusemwa au kufanywa hata na mtu asiye na ulemavu kwa sababu issue hapo ni attitude!! Sasa nini kimekufanya uone Manara kafanya hayo kwa sababu ya ulemavu wake na sio attitude yake?!Hilo Sope linajivunia ulemavu wake, ndo maana haliogopi mamlaka.
Mxxxxiiiiieeeew zake.
Huko mbona mbali sana hao hao aliowatusi kuna namba humo na bila shaka unazipata green beret..Siku moja aje kujibu hivyo hivyo kwa askari wa JW. Atawasimulia.
Anadhalilisha watu kwa dharau sana!
Video mbona inajielezaKama utulie ulete kisa kamili ili tupate kuelewa unazungumzia nini.
Mkuu acha kabisa si wale KMGM? hahahahaaa nimecheka kwa uchungu kidogo chukua hii,Huko mbona mbali sana hao hao aliowatusi kuna namba humo na bila shaka unazipata green beret..
Wapi sasa!CCM imetufikisha hapo dah
Kwako mfungwa ni sifa?Mfungwa ni tusi?
Acha uchizi wewe unajua huyo askari alimuambiaje mpaka akaitwa hivyoKwako mfungwa ni sifa?
Mfungwa ni mhalifu aliyethibitishwa na mahakama.
nadhani ni lugha ya kimichezo hiyo haina ukakasi 🐒Jana wakati wa mchezo Kati ya Yanga na Prisons, Haji Manara alifanya kitendo kisicho cha kingwana na udhalilishaji kwa jeshi la Magereza kwa kuwaita askari ni wafungwa.
Manara ambae alikuwa anahojiwa na waandishi wa habari huku akiwa amepark gari lake njiani na kuziba njia hiyo magari mengine yasipite, alipotakiwa kulitoa gari lake ili gari la Magereza lipite alimtukana askari huyo na kumuita ni mfungwa hivyo askari wote wa magereza ni wafungwa.
Kitendo hiki kilikuwa cha kidhalilishaji haswa kwani wote tunatambua kuwa kuna utofauti mkubwa Kati ya askari magereza na wafungwa, askari ni muajiriwa wa serikali ambae analinda na kurekebisha wafungwa wakati mfungwa ni mtu aliyepatikana na hatia na kuhukumiwa adhabu na mahakama.
Jeshi la Magereza linatakiwa kumchukulia hatua Haji ili iwe fundisho kwa watu wengine, kama jeshi litaruhusu udhalilishaji wa namna hii na wakakaa kimya basi ipo siku tutashuhudia udhalilishaji zaidi ukifanywa kwa askari.
Mbona hatuoni askari wa jeshi la polisi, Jwtz wakidhalilishwa Kwanini iwe kwa magereza.
Huyu mtu anapaswa kukamatwa ikiwezekana apelekwe gerezani akaone utofauti wa askari magereza na mfungwa.
View: https://youtu.be/F93mZI980ZU?si=sShG-Fz-jyypfYKV