Hajia Manara aonekana Mwanachi Day japo adhabu yake inaendelea

Hajia Manara aonekana Mwanachi Day japo adhabu yake inaendelea

Ukisikiliza ile press yake jamaa alisema bado hajapewa barua ya hukumu na hiyo kamati ya maadili . na akasema kwa mujibu wa kanuni za TFF ni kwamba mtu anaanza kutumikia adhabu yake pindi anapokabidhiwa barua ya hukumu .
Siku ile kwenye press watu walimuona kama mwehu sasa jamaa pengine aliona kaupenyo akapitia hapohapo.
 
Mbona ni rahisi tu kujitetea! Atasema amealikwa tu kama MC wa kutambulisha wachezaji.

Sasa TFF watasema kama huyo Manara haruhusiwi hata kufanya shughuli zake za kumhingizia kipato, kisa kafungiwa.
Bila shaka wewe ni mganga[emoji23][emoji23]
 
mbaya zaidi anasema hajihusishi na mpira kwamba ye ni MC reaction jukwaa kuu ni kama hawaamini kinachotokea wamebaki midomo wazi
 
Yaan hatakiwi hata kutaja neno mpira sasa hapa tffina paswa waseme jambooo
kasikilize ile press ya Manara baada ya kuhukumiwa . Kuna makosa ya kikanuni ile kamati iliyafanya sasa jamaa kaamua apitie humohumo. Kanuni inasema mtu ataanza kutumikia adhabu baada ya kukabidhiwa nakala ya hukumu ambayo kamati ya maadili wamegoma kumpatia jamaa.
 
Ukisikiliza ile press yake jamaa alisema bado hajapewa barua ya hukumu na hiyo kamati ya maadili . na akasema kwa mujibu wa kanuni za TFF ni kwamba mtu anaanza kutumikia adhabu yake pindi anapokabidhiwa barua ya hukumu .
Siku ile kwenye press watu walimuona kama mwehu sasa jamaa pengine aliona kaupenyo akapitia hapohapo.
Kama amekata rufaa alikata rufaa kwa kutumia barua ipi?

Maana huwezi kukata rufaa pasipo kupokea barua/nakala ya hukumu.
 
Back
Top Bottom