HOMOSAPIEN
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 745
- 273
Yanga ni timu ya wananchi siyo ya Karia na vikaragosi vyakeNgoja tuone rungu lingine litakaloshushwa kwake. Asije akalalamika na Yanga wasije kulalamika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga ni timu ya wananchi siyo ya Karia na vikaragosi vyakeNgoja tuone rungu lingine litakaloshushwa kwake. Asije akalalamika na Yanga wasije kulalamika
Huku jezi, huku Manara 😁😁😁 kule unamkuta GENTAMYCINE !!!Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni
Sikio La Kufa Halisikii Dawa
Sikio La Kufa Litasikia Kwa Mungu
Kwani Manara hatakiwi hata kusherehesha kwenye matamasha!!Kwa kweli hapa TVF wametuonyesha maigizo unless watuambie wamekula mlungula .....
😂🤣😅😆😆😆😁😄Mtani Ndiyo Siku Yenu Kuhanikiza
Naona Manara kawavuruga kabisa! Yaani kupita hata yule vunja bei.Shida ni kuwa TFF imeanza kuingiza uccm ndani yake hivyo siasa itafanya isiwe na maamuzi yaliyo simama kwenye haki
Hili jamaa achana nalo kabisa 😁😁😁Manara kama Manara....
Yaan hatakiwi hata kutaja neno mpira sasa hapa tffina paswa waseme jamboooKwani Manara hatakiwi hata kusherehesha kwenye matamasha!!
Kama nilivyo tabiri! Mumfungie sasa. Huyooo anaenda zake Kigogo kusherehesha harusi 😁😁😁Yaan hatakiwi hata kutaja neno mpira sasa hapa tffina paswa waseme jambooo
Bila shaka wewe ni mganga[emoji23][emoji23]Mbona ni rahisi tu kujitetea! Atasema amealikwa tu kama MC wa kutambulisha wachezaji.
Sasa TFF watasema kama huyo Manara haruhusiwi hata kufanya shughuli zake za kumhingizia kipato, kisa kafungiwa.
Yaan hatakiwi hata kutaja neno mpira sasa hapa tffina paswa waseme jambooo
Mkuu umetishaHapo anafanya shughuli ya u MC mkurugenzi! Anyway, ngoja tusubiri wanasheria watasemaje. Mimi ni bush lawyer tu.
kabisaaaa ngoja tuoneHuyo wataruka nae..
Labda TFF wawe maboga
kasikilize ile press ya Manara baada ya kuhukumiwa . Kuna makosa ya kikanuni ile kamati iliyafanya sasa jamaa kaamua apitie humohumo. Kanuni inasema mtu ataanza kutumikia adhabu baada ya kukabidhiwa nakala ya hukumu ambayo kamati ya maadili wamegoma kumpatia jamaa.Yaan hatakiwi hata kutaja neno mpira sasa hapa tffina paswa waseme jambooo
Kama amekata rufaa alikata rufaa kwa kutumia barua ipi?Ukisikiliza ile press yake jamaa alisema bado hajapewa barua ya hukumu na hiyo kamati ya maadili . na akasema kwa mujibu wa kanuni za TFF ni kwamba mtu anaanza kutumikia adhabu yake pindi anapokabidhiwa barua ya hukumu .
Siku ile kwenye press watu walimuona kama mwehu sasa jamaa pengine aliona kaupenyo akapitia hapohapo.