MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
- Thread starter
- #61
Hoja hupingwa na hoja iliyo bora🤣🤣🤣🤣 Wataelewa tu mwaka huu, wanavyotaka na sisi tunataka.
Wakati wao wanataka mwanamke mwenye tako, msomi, mwenye adabu, mweupe, mwenye K ya moto, mchamungu, nyonyo lisilale hata akinyonyesha.....na akikosa kimojawapo wanachepuka huku wakijifariji men are polygamist in nature🤣🤣
Sie pia tunataka mwanaume mrefu, mweusi, msikivu, mwenye six packs(asiote kitambi Hadi uzeeni), mwenye Hela, awe na muda na sisi, pia akitupa mimba tuzae vitoto vizuri shombe shombe flani hivi🤣🤣🤣🤣🤣