Hakika hakuna anayeweza kumridhisha mwanamke, maneno ya Dr. Mwaka yaingizwe kwenye katiba mpya

Hakika hakuna anayeweza kumridhisha mwanamke, maneno ya Dr. Mwaka yaingizwe kwenye katiba mpya

🤣🤣🤣🤣 Wataelewa tu mwaka huu, wanavyotaka na sisi tunataka.

Wakati wao wanataka mwanamke mwenye tako, msomi, mwenye adabu, mweupe, mwenye K ya moto, mchamungu, nyonyo lisilale hata akinyonyesha.....na akikosa kimojawapo wanachepuka huku wakijifariji men are polygamist in nature🤣🤣
Sie pia tunataka mwanaume mrefu, mweusi, msikivu, mwenye six packs(asiote kitambi Hadi uzeeni), mwenye Hela, awe na muda na sisi, pia akitupa mimba tuzae vitoto vizuri shombe shombe flani hivi🤣🤣🤣🤣🤣
Hoja hupingwa na hoja iliyo bora
 
Ofcourse wanawake hawaridhiki ila tunawapima kwa utii wa kiapo na hofu ya MUNGU. Ni kama ss wanaume tu, tunapenda ngono na haturidhiki, umetoka kushughulika ila ukiambiwa kwenye kona kuna dada anaoga utataka kuingia na ww uoge ila tunapimwa kwa commitment zetu kwa familia na uwezo wa kuilinda familia. Hakuna binadamu anayeridhika, we always want more. Na kipimo cha binadamu mwenye nidhamu ni uwezo wa kucontrol kutokuridhika kwake.
 
Wanaume wa kibongo wajingawajinga sana
Mwaka huu watajifunza maisha ni kuidhibiti nafsi tu🤣🤣🤣 Polygamist ya nyoookwe🤣🤣
Hao waliokuwa wanapractice hiyo poly walihakikisha mwanamke hatoki hata nje, balaa lake wanalijua, Sasa kizazi cha Leo mwanamke amesoma, anafanya kazi, unampa ruhusa aende kidimbwi na mashosti zake, halafu unakaza Koo men are polygamist in nature😂😂😂😂😂😂
 
Hakuna mtu ninayemchukia kama Dr mwaka namchukia sana,kwanza nani amesema kunachakuridhishana ,let me give you some advice so you can learn something,.

Mwanadamu haridhiki ila anaendana na hali aliyoichagua.
Mwanamke au mwanaume akipenda anatosheka hata usipompa kitu ila kama hakupendi anademand vitu ili uende , mwanaume anayekujali hademand sex anaomba sex anabembeleza ukibembelezwa ujue unapendwa hata mwanamke anapenda sex kabisa ila haforce anaomba mtu yule kipenzi chake .

So if mtu amekupenda , ni amekuheshimu , so haforce vitu ambavyo vinadhiri mwili wako na aafya Yako . Atakujali nakukupenda . Atajitolea Kisa anakupenda
Yaani umeingia kwenye kanuni yangu ya kuwa niliokuomba namba dakika sifuri ukaniomba pesa ama tupo kwenye mahusiano mie Ni wa kuelezwa matatizo hiyo Ni kengele ama alarm kichwani mwangu kuwa sipendwi jamani
 
By nature we're hard wired dissatisfied with what we've and hungry/ seek what we don't have
Yap. Hata ukiachana na mapenzi, katika mambo ya kawaida tu, kama tusingekuwa tunataka zaidi, dunia isingekuwa na fashion. Fashion ni matokeo ya binadamu kutaka kitu tofauti kinachofanya kazi ile ile. Mfano nguo, kazi yake ni kusitiri ila unapoinunua unahitaji zaidi ya kukusitiri.
 
Ofcourse wanawake hawaridhiki ila tunawapima kwa utii wa kiapo na hofu ya MUNGU. Ni kama ss wanaume tu, tunapenda ngono na haturidhiki, umetoka kushughulika ila ukiambiwa kwenye kona kuna dada anaoga utataka kuingia na ww uoge ila tunapimwa kwa commitment zetu kwa familia na uwezo wa kuilinda familia. Hakuna binadamu anayeridhika, we always want more. Na kipimo cha binadamu mwenye nidhamu ni uwezo wa kucontrol kutokuridhika kwake.
Wewe ndo umeongea point sasa!
 
Back
Top Bottom