Hakika hakuna anayeweza kumridhisha mwanamke, maneno ya Dr. Mwaka yaingizwe kwenye katiba mpya

Hakika hakuna anayeweza kumridhisha mwanamke, maneno ya Dr. Mwaka yaingizwe kwenye katiba mpya

🤣🤣🤣🤣 Wataelewa tu mwaka huu, wanavyotaka na sisi tunataka.

Wakati wao wanataka mwanamke mwenye tako, msomi, mwenye adabu, mweupe, mwenye K ya moto, mchamungu, nyonyo lisilale hata akinyonyesha.....na akikosa kimojawapo wanachepuka huku wakijifariji men are polygamist in nature🤣🤣
Sie pia tunataka mwanaume mrefu, mweusi, msikivu, mwenye six packs(asiote kitambi Hadi uzeeni), mwenye Hela, awe na muda na sisi, pia akitupa mimba tuzae vitoto vizuri shombe shombe flani hivi🤣🤣🤣🤣🤣
Very interesting, wewe unataka mwanaume kama Dr Matola PhD ambaye ni tall, mweusi six pack natural, halafu unataka Mwanao awe shombe mbona kama mnara haujakamata vizuri signal hapo?
 
Very interesting, wewe unataka mwanaume kama Dr Matola PhD ambaye ni tall, mweusi six pack natural, halafu unataka Mwanao awe shombe mbona kama mnara haujakamata vizuri signal hapo?
Hapo Ndo namaanisha hakuna binadamu full package, ni kumvumilia tu yule unayempata.....lakini nyie ndugu zetu mnataka sie tuwe na tako na akili, tukiwa na akili bila tako mnachepuka na wenye mawowo in the name of men are polygamist in nature😂

Haya nishakupata tall and black ila natamani kitoto kiwe kishombe, nikachepuke na mzungu au mwarabu?
 
Swala la tako hilo ni choice ya wanaume baadhi tu siyo wote, if I may ask tako Mimi Nina kazi nalo gani?

Kwangu nafuata mfumo wa kimagharibi, siamini kama mwanamke wa Kitanzania anaweza kumiliki tako na akili, ni nadra sana.
 
Yap. Hata ukiachana na mapenzi, katika mambo ya kawaida tu, kama tusingekuwa tunataka zaidi, dunia isingekuwa na fashion. Fashion ni matokeo ya binadamu kutaka kitu tofauti kinachofanya kazi ile ile. Mfano nguo, kazi yake ni kusitiri ila unapoinunua unahitaji zaidi ya kukusitiri.
Ukishakuwa nacho value inapungua. Yaani ukijenga utataka ingine dizaini fulani,hata gari ukiwa nayo nadhani Ni mwanzoni pale upendo nayo unakuweepo baadaye unaona kawaida tu. Na ndio kijana wakati anapenda hajui kuwa Kuna kuchokana. Na our brain Ina scan na ku store katika subconscious Mambo hasi ,mabaya kuliko mazuri. So mtu Kama umemfanyia mabaya anayatunza mpaka anachoka baadaye kukumaliza aishi kwa Raha Ni ishu ndogo kwake.

Hata hasara brain Ina feel mno hasara kuliko faida. Yaani ukiipoteza milioni baadaye ukaikota badao utakuwa na Yale maumivu yaani kichwa kutakuwa kinawaza maumivu ya kuipoteza Ile milioni. Ili uyaondoe watalaamu wanadai inatakiwa tupate 2.5M yaani Mara mbili na nusu ndio tunapoa na kusahau. Na ndio Mana unaona kamari nyingi Ile bet size yako odds huwa unapewa above twice ya ulichobeti yaani weka buku upate buku mbili Ila buku keep hakuna atakayebeti.
 
Hapo Ndo namaanisha hakuna binadamu full package, ni kumvumilia tu yule unayempata.....lakini nyie ndugu zetu mnataka sie tuwe na tako na akili, tukiwa na akili bila tako mnachepuka na wenye mawowo in the name of men are polygamist in nature😂

Haya nishakupata tall and black ila natamani kitoto kiwe kishombe, nikachepuke na mzungu au mwarabu?
Umeongea point kinyama Kama mie ninaye mwenye heshima Kama zote yaani hajawahi nikosea sema sio mchacharikaji so natafuta mchacharikaji niongeze ili nizibe ili pengo ama shimo ambalo halijawahi jaa hata nipewe ke zote dunia nzima nitaanza kuwaza na Galaxy zingine Zina ke nzuri zaidi ya hizi za earth
 
Tatizo watu hawataki kujisomea kazi yao ni kuperuzi udaku tu na kuangalia pornography basi ila ukisoma kwenye kitabu cha women are from VENUS and men are from MARS huwezi kuhangaika na mapenzi au mwanamke kwasababu kuna mstari kwenye kile kitabu unasema "anayehonga gari au kitu cha thamani kwenye mapenzi na anayetoa ua kumpa mpenzi wapo sawa " na alitoa sababu nilichoka sana

Na kuna siku niliangalia interview ya Jack ma anasema mke wake analalamika hampendi kwasababu yupo bize na kazi zake kuliko yeye yaani hana mda na mke wake nikachoka kabisa nikahitimisha tu wanawake ndio nyoka wenyewe.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣 Wataelewa tu mwaka huu, wanavyotaka na sisi tunataka.

Wakati wao wanataka mwanamke mwenye tako, msomi, mwenye adabu, mweupe, mwenye K ya moto, mchamungu, nyonyo lisilale hata akinyonyesha.....na akikosa kimojawapo wanachepuka huku wakijifariji men are polygamist in nature🤣🤣
Sie pia tunataka mwanaume mrefu, mweusi, msikivu, mwenye six packs(asiote kitambi Hadi uzeeni), mwenye Hela, awe na muda na sisi, pia akitupa mimba tuzae vitoto vizuri shombe shombe flani hivi🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio watajua hawajui.
 
Back
Top Bottom