Hakika Mungu akishakupangia hakuna wa kupangua! Hongera Jakaya Kikwete

Huenda wewe ndio unahitaji kukimbizwa hospitali ya machizi?
Mara nyingi chizi huona wenzake ndio machizi[emoji1787]
Labda ni

1-udini unakusumbua
2-ukabila na ukanda
3-jinsia
Au roho mbaya?
Jk ataendelea kupendwa kama baba wa demokrasia nchini
Yote kwa yote hawa watu ni wasomi sana.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hebu punguzo Udini basi. Dah huoni aibu???

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Zimebaki siku chache tunzeni hii quotes mlete mrejesho.Ipo hivi duniani nzima ikiwemo serikali zote za duniani zipo chini ya nguvu za mamlaka ya watawala wa ulimwengu usioonekana, chochote kabla hakijafanyika ktk ulimwengu wa macho tayari kilishafanyika au afikiwa ktk ulimwengu usioonekana.
Uwe unataka utaki unakubali ukubali sisi sote tunaongozwa na nguvu zilizo nje ya uwezo wetu ambazo zipo ktk ulimwengu wa siri.
Kama serikali tu inawatambua wazee mfano wazee wa Dar ukadhani ni wazee as wazee sababu ya mvi au umri upo nyuma upo wrong,wale ni watu wazito Sana katk ulimwengu ulionekana wapo physical kuwakilisha wakuu wa ulimwengu usioonekana.
Ni SAwa na vatican, vatican si kama vatican ni zaidi ya vatican,thus wakuu wote wa duniani bila kujali dini ni lazima wasalute kwa Pope. Raila Odinga alimshinda UHURU uchaguzi uliopita akawa ajakubaliana masharti ya wakuu wa dunia thus akachezewa mchezo akapewa UHURU, Then anaitwa akaitwa akayakubali masharti thus anachukua this time hata Kenyatta analijua hili ndo maana kaamua kuwa upande wa Raila.
Kwann kambi ya Raila itashinda.
1.Wakenya wamechoka kutawaliwa na kabila/ ukanda mmoja miaka yote, wanataka kubadilisha ladha.
2.Kambi ya Odinga ni strong Ina wagombea smart na wameshauzika miaka mingi sana yaani Odinga na Martha Karua kuliko kambi ya Ruto pia ni wanasiasa mahiri na ni wachapa Kazi wakenya wanaona watavusha na sio ile kambi ya mafisadi.
3.Kambi ya ODIMA yaani Martha na Odinga Ina makampeni meneja smart na makini Sana kuliko kambi ya Ruto.
4.Ruto anajibomboa mwenyewe kwa kauli zake za chuki na visasi na ukosefu wa nidhamu.
5.Ruto ana visasi hana utulivu wa akili yaani sio matured and civilized enough kuongoza nchi,kiburi mjuaji mapepe yaani saikolojia yake haijabalance bado kulinganisha na Odinga,pia ni dictator hofu atawaletea machafuko wa Kenya.
6.Wakuu wa duniani hawawezi ruhusu hayawani aingie ikulu, Kenya ni muhimu Sana kama base ya kucontrol East, and Central Afrika ikiwemo Ghuba ya Aden. Utulivu wa Kenya ni muhimu Sana kwa interest zao.
7.Katika ulimwengu usioonekana wao chaguo lao ni Odinga kwa maana ni rahisi kumcontrol kinyota na sio Ruto yeye hayupo kabisa kwenye radar zao.

Wiki ijayo sio mbali tunzeni post hii.RAILA AMORO ODINGA ndie next president wa Kenya.Upige kura usipige kura tayari wakubwa wa Dunia walishapanga Odinga.

Ruto is another dictator Arap Moi.
 
Nakubaliana na baadhi ya hoja, lkn nakwambia chuki dhidi ya kikwete iliibuka zaidi baada ya awamu ya 5 kukesha ikimnanga bila soni.....,yaani taifa liliaminishwa hakuna kitu chochote huyo mtu amefanya; kina musical wakaandaliwa na kuwezeshwa kwa ajili hiyo tu. Na kwakuwa watz, wengi wetu, ni watu tu wa kufuata mkumbo basi wafuasi fulani hv wakalishika hilo vema tu.
 
Pamoja na hilo ila pia serikali ya Dkt Kikwete ilifanya mambo mengi mabaya na kila tuhuma zilikuwa na ukweli. Tofauti na serikali ya Rais Samia kwa sasa inflation ni zaidi ya 100%, ambayo imejitambulisha ni serikali ya Dkt Kikwete na ndiyo maana Dkt Kikwete anachukiwa na Rais Samia anachukiwa
 
Haya, endelea kuabudu maiti hiyo.

Mimi nimeshamaliza hapo.
 
Asante kwa ujumbe.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
JK yuko zake huko anakula maisha Kwa kuaminiwa na Jumuiya ya Kimataifa..👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220808-080954.png
    159.2 KB · Views: 5
Tuhuma zote za JK haziwezi zidi tuhuma za uuaji na wizi wa Mwendazake 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220719-125637.png
    151.1 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220719-125655.png
    43.6 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220520-171316.jpg
    116.8 KB · Views: 4
  • 1650491737485.png
    60.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220415-072852.jpg
    122 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220415-140726_1.jpg
    49.3 KB · Views: 5
Mkuu unahangaika bure,
Hawa wenzetu wao wanajua wazuri ni wa kwanza wa tatu na wa tano basi, hao wengine ni wabovu, wakiambiwa wathibitishe wanaleta story za vijiweni sasa kama sio udini ni nini?
Akili kichwani mwako,
Jamaa ni wadini kupita maelezo
Exactly,wadini mnooo
 
Karma is real !!
 
Alitumia PESA zetu kuanzisha mchakato wa KATIBA mpya na mwisho akauvuruga.

Atalipa Kwa hili ASIPOTUBU.
 
Na ole wake ajichanganye Kama kwetu 2015 kuchezesha karata ,wakenya watamvulumisha
 
Labda inamjua kwa ufisadi wake na unafki

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Amezomewa wapi mh ama ni meneo gani aliyozomewa mkuu duu ila binadamu tuna chuki ya kiwango cha SGR
 
Akili huna wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…