Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali ilisemaje alipokuwa haonekani? kuamini ni kuamua.Serikali imesemaje..........kuamini ni kuamua
Lissu anajua ukweli na Mie Nina amini corona ndio imempeleka sababu alikuwa mbovu. Fikiria familia moja Morogoro kaondoka Baba na mama wameacha watoto wadogo Shauri ya dharau yake halafu leo eti legacy,' legacy my foot' (kwio).Yes. Umesema kweli. Vizazi na vizazi vitasoma tulikuwa na rais aliyepuuza virus vya corona, watu wakafa kwa wingi na yeye mwishoni akafa kwa hiyo hiyo corona.
Ndio maana Uhuru pekee ukanda huu ndio alitia timu wanzie waliogopa C 19. Yeye hakuwa na jinsi ni Sawa na mgeni aje afie kwako huwezi jikausha kwenye kuzika.Serikali ilisemaje alipokuwa haonekani? kuamini ni kuamua.
Can legacy aso be negative? Or it is always positive?His legacy lives on.......
Depends na mtazamo wa mtuCan legacy aso be negative? Or it is always positive?
Ondoeni chama.........msitu ni ule ule.......Sasa hivi tunatumia Corona kuwaondoa madarakani viongozi wasio waadhilifu,wasiopenda kuwajibika na wale ambao ni wezi wa kura na kuwasafirisha kwenda kwa mola wao.
Narudia kusema tena Mungu ni Fundi jamani
Kama ni hivyo basi corona si ugonjwa wa kutisha au tuseme tushauzoe,ndio maana pamoja na kusema kwamba corona inauwa watu kwa wingi na watu wanaona ila bado wanaweza kuendelea na mambo yao kama kawaida kama vile kwenda kujazana barabarani na viwajani bila kuhofia huo ugonjwa ili kumuaga Kiongozi wao kipenzi aka Mjeshi,ni wezi corona ni kama magonjwa mengine tu ambayo nayo yanaondoa watu wengi kitakwimu ila watu hawana hofu.Yes. Umesema kweli. Vizazi na vizazi vitasoma tulikuwa na rais aliyepuuza virus vya corona, watu wakafa kwa wingi na yeye mwishoni akafa kwa hiyo hiyo corona.
Nimekuelewa, unamuongelea yule FEDHULI aliye garagaza Katiba, akaweka Bunge mfukoni, akaitisha Mahakama na akadhibiti vyombo vya habari.
Yule aliyeiba kura za uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020 ili atawale milele. Watanzania walipiga magoti hatimaye Mungu akasikia hatimaye AKAFA kwa CORONA mwezi Machi 2021.
Mungu alikuwepo kabla ya ccm na mzizi wa matatizo ni ccm,Lissu mbaya wake Jiwe ila Dr Ulimboka mbaya wake yupo utawala wa ccm uliopita. Sasa Mungu anatakiwa akusemeshe kuhusu ccm maana ndio kwnye mzizi wa tatizo na sio kuishia kwenye chaguzi kusema huyu ni chaguo la Mungu baada ya uchaguzi chaguo la Mungu linapigwa chini na Ccm. Kama sio Ccm huyo Jiwe angepatikana vp unafikiri?Mungu alikuwa kazini tangu mwaka 2020 baada ya uchafuzi. Mimi alinisemesha ngumu kuvuka 2022! Na kweli amefanya!
Kufa kupo tu we huoni watu wameenda kumuaga Kiongozi wao kipenzi aka mjeshi hadi wakafa hukohuko nao kutokana na wingi wa watu?Watu wengi wamekufa, wengine vilema, wengine wamekua maskini kwa kua alitaka waishi kama mashetani huku akijinasibu kumtanguliza Mungu na kua atakua mkuu wa malaika mbinguni.
Mfyuuuu nani amfanye bedui malaika
kama wewe vileNdiyo maana Lisu alikiona cha moto alipojipendekeza MIGA.
Tanzania iko makini na wagonjwa wa akili.
Hamna kitu nachukia kama kuwasema MATAGA kwa mapambio yao ilihali na ninyi mnaimba mapambio Kwa Mwenyekiti kila siku pamoja na blanda kibao ambazo wamekuwa wakifanya viongozi wenuHana legacy yoyote ile ya maana aliyo iacha! Zaidi tu aliwageuza nyinyi MATAGA kuwa misukule na waimba mapambio wake.
lakini kafa siyo,mfufueni basi tuone kuwa ni kipenzi cha watu,Mungu amweke mahali panapostahili.Kufa kupo tu we huoni watu wameenda kumuaga Kiongozi wao kipenzi aka mjeshi hadi wakafa hukohuko nao kutokana na wingi wa watu?
Same as Hitler legacyHis legacy lives on.......