Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

Nimechekaaa 😄😄😄ndioo hivyoo huku makazini..kwani na ninyi si mnaendaa makazini?...
 
Jamani sasa tusipendezeeee😄😄😄😂Ila tunaenjoy huku makazini kuliko nyumbaniiii
 
Ndio hii watu husema bora afanye usijue?

Ila inapenya hii dah, sema mwenye roho ya utapeli ni tapeli tu awe nyumbani awe kazini awe ukweni kama mgawaji atagawa tu
 
Ipo hivi ukweli mwingine

Mkeo anatoka kazini kafura kumbe mahusiano huko yamevamiwa kuna staff mpya wa kike kaingia, wewe unabembeleza unaomba na kamzigo unanyimwa anakujibu sijisikii kumbe ana hasira za ofisini mume wake wa ofisini anachukukiwa

Tena iwe mkeo ndiyo mara yake ya kwanza kujakufanya kazi hapo ofisini alipo hamishiwa, yani vile wanaume staff wenzake alio wakuta hapo wanavyo mchangamkia wakisikia mfanyakazi mpya ili wa mle sio poa. Alafu hapo hapo inatoa chance tena zaidi kwa wale wanawake staff wenzake kuzidisha mapenzi kwa mababy wao waume wa kazini ili wasiachike yani hapa ndipo moto wake zenu wanapelekewa.

Sasa jiulize huko alipokua anafanya kazi kaliwa hapa alipohamishiwa anasetiwa mazingira aliwe tena chap chap.

Hapo anakua na mume wa ndoa, mume ex-wa ofisini na mume mpya wa ofisi mpya. Na bado mtaani watakukazia alafu tena na kuna yule boda boda anayempeleka kila siku hapo ofisi mpya ili asipotee njia akachelewa kazini

Nb. Mke halali wa mtu mwenye baby wake ofisini anaona wivu kwa staff mpya wa kike kumlinda mume wake wa ofisini.
 
Mwanamke kuvusha ni uwezekano upo lakini bado ni mdogo kuliko kuchepuka huko maofisini. Kwanza nyumbani kuna nyumba za majirani, atahofia sana usalama wa kuvusha mchepuko labda nyumba iwe imejitenga sana na majirani.

Sasa huko maofisini kuna vidume vinamkumbatia kumbatia, mara kumchum chum pamoja na utani wenye maneno ya kipuuzu ya kupandisha. Bila kusahau mida ya kula na kunywa chai kuna kidume huwa wanaongozana wote mara kwa mara, na wakifika huko kina jitutumua eti bili juu yake.

Hapo mwanamke hata kama ni mke wa mtu ataacha kuliwa tunda kimasihara??? Yani huko maofisini ni upuuzi mtupu.
 
Yani huko maofisini kuna mapenzi ya kuoneana wivu kabisa. Mwanamke ni mke wa mtu, lakini akiona leo kidume chake alichokizoea kina mingo na staff mwingine wa kike ambaye ni mgeni, moyo unampasuka hadi anaweweseka. Hapo utasema kuna mke tena hapo!!?
 
Yani huko maofisini kuna mapenzi ya kuoneana wivu kabisa. Mwanamke ni mke wa mtu, lakini akiona leo kidume chake alichokizoea kina mingo na staff mwingine wa kike ambaye ni mgeni, moyo unampasuka hadi anaweweseka. Hapo utasema kuna mke tena hapo!!?
Anafika nyumbani kanuna na hasira kibao, mume wa ndoa anazani labda kuna mahali kamkosea mkewe. Ana mplease na kumuomba amnyandue labda atakaa sawa . Anabaniwa mapaja eti sijisikii kumbe mke wake kaibiwa mume wake wa kazini na mfanyakazi mpya
 
Ni umasikini wa kipato ila mke anapaswa kua wa nyumbani wana roho nyepesi......napenda sanaa tabia za waislamu wengi wanao kataza wake zao kufanya kazi za kuajiriwa heshima ya mwanamke ni kulea mme na watoto.
wapo wanawake waliojiajili wanamegwa na wateja ili kusecure deals, wapo wake za maboss wanamegwa na house boys na madereva wao wanakwaya wenzao manabii wao.
maandiko yanasema
"Bwana asipoulinda mji walindao wanafanyakazibure"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…