Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

Anafika nyumbani kanuna na hasira kibao, mume wa ndoa anazani labda kuna mahali kamkosea mkewe. Ana mplease na kumuomba amnyandue labda atakaa sawa . Anabaniwa mapaja eti sijisikii kumbe mke wake kaibiwa mume wake wa kazini na mfanyakazi mpya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
💯Agreed
 
Nikiwa mgeni kazini nilikuwa nastaajabu, mama mmoja mfanyakazi mwenzangu akaniambia nisishangae, hayo ni mambo ya kawaida maofisini. Haya mliooa wanawake wa maofisini jueni na fahamuni hamko peke yenu kwenye penzi. Ndoa zenu ni nyumbani tu, huku maofisini ni anga zingine za mahusiano ya kimapenzi, tena msipokuwa makini mtachomekewa watoto si wenu kwa mimba kutungwa nje ya ndoa, mtaishia kujifariji kitanda hakizai haramu. Vumilieni wake zenu msitake kujua kama mnasilitiwa mtakufa mapema kwa presha, ukweli ndio huo
 
Nimebadili msimamo mkali sitaki wivu wa kimapenzi, akiliwa ofisini kwake akija home anaiosha na mimi nakula, maisha yanaendelea. Mzee mmoja alinishauri nisifuatilie kujua analiwa au haliwi cha msingi anaishi na mimi, full stop
 
U
Uko sahihi kabisa,Kama mtoa mada alivyosema ndivyo inavyokuwa .Kuna siku nikiwa Mtwara Kuna jamaa alikuja kwangu asubuhi analia,akanambia mke wake kamwambia kuama amfate akamjibu amechoka kupigiwa kelele,jamaa akaangaika sana kwa maswali mengi,mwishoni akanambia Ndo mwisho wa ndoa Yao na ilikuwa hivo kumbe alijua kinachoendelea.Nafikilli Kama Mungu asipoinusulu hali hii watoto wetu na wajukuu kwa badae hakutakuwa na taasisi ya Ndoa(kwa hizi changamoto za wanawake walio na kazi licha ya kuwa SI wote lakini asilimia kubwa wanaume wanalia)
 
Ukimchunguza sana bata huwezi kumla. Kikubwa ni kuacha kufanyiana ujasusi ndani ya ndoa. Ukikaa kuchunguza Simu ya mweza wako jua utakutana na madudu, ukianza kumpeleleza anawasiliana na nani basi lazima utakutana na madudu....!

Kikubwa ni kuheshimiana na kuzilinda afya zenu! Mengineya sirini mwachieni Mungu.
 
NAKAZIA SANA
 
Nimebadili msimamo mkali sitaki wivu wa kimapenzi, akiliwa ofisini kwake akija home anaiosha na mimi nakula, maisha yanaendelea. Mzee mmoja alinishauri nisifuatilie kujua analiwa au haliwi cha msingi anaishi na mimi, full stop
Acha kujifariji ,huyo mzee alishakata tamaa
 
Hii nimeiona kwa jirani yangu,alikuwa na mke kila mara akimwambia yuko overtime mpaka saa saa 4 usiku,siku hiyo akataka tumfuatilie mkewe,mkewe alikuwa mhasibu wa kampuni fulani.Tulipofika pale kazini,tukakutana na walinzi getini,wakatuambia mbona wafanyakazi wote kwa mda mrefu,wanatoka toka saa tisa.Na taa za maofisini mote zimezimwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…