Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

Cuckold aka dayuthi (mwanaume asiye na wivu kwa mkewe ana ahali zake)

Mwanaume mwenye sifa hii hafai katika jamii
 
Si unaona sasa yani mimi kulalamika kote nikajua labda wewe ni Mstaarabu huli wake za watu, na unawaheshimu kumbe na wewe ni wale wale tu sikia kijana mla vya watu na vyake huliwa, hilo kubali ukatae siku wanaume mkikubali kwamba KARMA ipo labda mtakubaliana na ukweli
 
Alichukua hatua gani baada ya kutambua hilo?
 
Wanalia haswa machozi huko chumbani na maliwatoni ..alafu wanakuja na msemo wa kukata tamaa kitanda hakizai haramu , ukimchunguza bata huta mla mara oo akiliwa ilimradi anarudi nyumbani ataiosha na mimi na kula.

Sasa sibora kama ni hivyo ununue malayer kabisa ujue moja anaiosha alafu na wewe una ila kuliko upigiwe makelele na bado analiwa
 
Mwanamke ana athirika sana na wema anaotendewa..Watoto wa mjini wanaita Chambo. Ukimjali kidogo mwanamke kihisia na kiuchumi basi lazima akulipe kwa kukuvulia chupi.

Malipo ya wema kwa mwanamke ni kukuvulia chupi yake.
Na sisi huku maofisini mkae mkijua tunawatendea wema wake zenu alafu wanageuka kua wake zetu tena wanakua na wivuukiongea na staff mwezake wa kike kuliko hata huko kwa mumewe
 
Mimi Huwa nawaza Huwa hawachoki au mm tu ni mvivu [emoji2]yani upigwe kazini urudi uoshe vyombo upike upigwe tena na mumeo aisee
Mkifika nyumbani mnajifanya visirani na kununa, makelele mengi ili tukiomba msipanue na tukikaza mnafukua makaburi.

Tukizidi kukomaa mnatuambia mimi na lala kula ukimaliza funika

Kumbe huko ushatoa yote kwa mumeo wa kazini.

Kazi kweli kweli
 
Ngono maofisini imetamalaki.
Wakubwa kwa wadogo.
Uadilifu ni sifuri.....usaliti, uzinzi.
 
Ipo hivi broo harakati za ofisini . Ukipewa utamu ukasusa eti kisa unaheshimu mke wa mtu hamna rangi utaacha kuona. Kwanza unaonekana mshamba alafu wataambiana .

Hakuna kitu kibaya kama staff mwezako ( kike/ mke wa mtu) aje akukumbatie kwa makusudi au ajiachie tuu basi kukukomoa , alafu wenzake wa muambie linda ndoa yako na uwe na aibu then yeye ajibu mbele za wenzake huyu na mjua hana sumu

Au aseme kwani huyu nae ni mwanaume

Nb. Hebu ingia huko maofisini alafu uje usome tena hii comment yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…