Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utalea watoto si wako.Acha mbususu ipigwe na akija home na me naipga maisha yanaendelea
Unaonekana hendsam sana wewe hebu njoo inboxMke wako anaitwa nani, kwani hata mimi nina mwaka na nusu hivi toka niachane na mke wa mtu aliyenitongoza mwenyewe na baadaye kukamatwa na mumewe kisha kupewa talaka.Huyu mwanamke nilimwabiaga kuwa nina mke na familia yangu lakini akanilazimisha kuwa naye kwamba hata yeye kaolewa ila kimagumashi tu lakini ananielewa mimi zaidi.
We jamaa utaua watu kwa kichaa.Ipo hivi ukweli mwingine
Mkeo anatoka kazini kafura kumbe mahusiano huko yamevamiwa kuna staff mpya wa kike kaingia, wewe unabembeleza unaomba na kamzigo unanyimwa anakujibu sijisikii kumbe ana hasira za ofisini mume wake wa ofisini anachukukiwa
Tena iwe mkeo ndiyo mara yake ya kwanza kujakufanya kazi hapo ofisini alipo hamishiwa, yani vile wanaume staff wenzake alio wakuta hapo wanavyo mchangamkia wakisikia mfanyakazi mpya ili wa mle sio poa. Alafu hapo hapo inatoa chance tena zaidi kwa wale wanawake staff wenzake kuzidisha mapenzi kwa mababy wao waume wa kazini ili wasiachike yani hapa ndipo moto wake zenu wanapelekewa.
Sasa jiulize huko alipokua anafanya kazi kaliwa hapa alipohamishiwa anasetiwa mazingira aliwe tena chap chap.
Hapo anakua na mume wa ndoa, mume ex-wa ofisini na mume mpya wa ofisi mpya. Na bado mtaani watakukazia alafu tena na kuna yule boda boda anayempeleka kila siku hapo ofisi mpya ili asipotee njia akachelewa kazini
Nb. Mke halali wa mtu mwenye baby wake ofisini anaona wivu kwa staff mpya wa kike kumlinda mume wake wa ofisini.
Haupo peke yako kwa mkeo yeye ni binadamu ana mume wake wa ofisini staff mwenzake. Chunguza alafu utapata jibuvipi kwasisi tuliooa wafanyakazi wenzetu mkuu
Kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu.Acha mbususu ipigwe na akija home na me naipga maisha yanaendelea
Na maboss wanawazibua haswaa.Salamu ndugu zangu
Huu ukweli ni mchungu sana na unachoma kama miale ya moto ila lazima usemwe ili ujue kama mwanaume utaamua kunyoa au kufuga nywele
Ukweli hakuna mwanamke aliyeajiriwa mwenye mwanaume mmoja sahau kabisa ewe mwanaume mwenye akili timamu, hata huyo mkeo akijifanya hataki baby wa ofisini wenzake watamsukumizia na kumsumbua mpaka akubali kuwa na baby boy wake wa ofisini. Haya ndiyo tunayo yaona huku maofisini ndugu zangu
Enyi wanaume mliooa wanawake waajiriwa jueni jambo hili kwamba kwenye ndoa zenu hamko peke yenu, mwanamke wako aliye ajiriwa huku ofisini ana mume wake pia na wanapanga mpaka siku ya valentine days namna watakavyo nyanduana nakufurahia siku yao
Huyo mkeo mwajiriwa aliye kua ana kusaidia ukikwama ipo siku ukweli na kuambia atakataa kukusaidia vijisenti kidogo kumbe huyu mumewe wa kazini kwake kamwambia hela ya mwanamke haina matumizi, haitumiki na haihesabiki ndani ya ndoa ni ya kwake peke yake
Huyo mkeo ana mume wake wa ofisini anaye muomba hela na kumsimulia madudu yako unayomfanyia huko ndani ya ndoa yenu, atamuambia huyo baby wake wewe unamtesa na haumpi raha ya maisha.
Huyo mkeo mwajiriwa ana mume wake ambae siku wakienda ziara za kikazi au kwenye semina anampa utelezi huku anakung'ong'a wewe, hakika anampea yote kuliko anavyokupea wewe huko ndani ya ndoa
Hakika huyo mkeo muajiriwa ana mume wake ofisini anayemliwaza na kumpafuraha ambazo nyumbani ana sema hazipati , huku atabebwa, atakumbatiwa kwa mahaba mazito huku akinusa harufu ya manukato mazuri ya mume wake wa kazini si chini ya sekunde , watatoka breakfast na lunch time huku wameshikana mikono atakula kwa bili ya mumewe wa kazini tena sehemu za migahawa nzuri nzuri na wakimaliza watarudi ofisini huku akiwa na furaha tele wakipiga story za hapa na pale
Huyo mke wako ana mume wake ambaye huku kazini watacheza na kufanya utoto wote ikiwemo kumvuta kwenye hivi viti vya matairi boss akiondoka, kutaniana na kumshikashika mpaka aloe shwaaa
Huyo mkeo muajiriwa hakika ipo siku atachelewa kurudi nyumbani akisingizia anapiga kazi hadi overtime atasema ana extra days ila kaa ukijua yupo na mumewe wa ofisini akila maisha huku anakung'ong'a wewe mumewe wa ndoa
Huyo mkeo mbaya zaidi akiwa ofisi moja na ex-wake kaa ukijua wewe ni geresha tuu na huyo ex wake ndiye mumewe ni vile tuu analala kwako
Huyo mkeo mwajiriwa ipo siku atakuambia amechoka maisha haya ya mateso ili hali humtesi kumbe kapumbazwa na mumewe wa ofisini kwake
Hakika huyo mkeo wa ndoa atakuwekea visirani, visasi, na viugomvi ugomvi ili uingie kingi mfarakane aivunje ndoa mgawane mali aweze kwenda kuenjoy na baby wake wa kazini
Hakika huyo mkeo wako ana mume wake wakazini anaye mzuzua mpaka akuone wewe mumewe humpi uhuru na ataanza kukudai uhuru hakika.
Ndugu zangu wanaume wanawake waliumbwa kwaajili yetu na sio sisi kwaajili yao, sasa kaa ukijua huyo mkeo wa ndoa mama watoto wako muajiriwa huku kazini kwake ana mume wake wanae kula nae maisha
Bro,Muwe mnapima na DNA za watoto wenu basi, lakini tumesema tunaoa mfanyakazi ilintusaidiane kazi
Uishi miaka mingi.Mke ni wangu akiwa ndani.
Akiwa kazini ni wenu.
Chezeni naye mkichoka atakuja nyumbani nitampa huduma zote kama mke wangu.
Kuku wangu manati ya kazi gani?
Amina Mkuu🙏Uishi miaka mingi.
Huu mtazamo na msimamo mzuri.
Sasa watu waache kufikiria mambo mengine wawaze wako zao kuliwa maofisiniSalamu ndugu zangu
Huu ukweli ni mchungu sana na unachoma kama miale ya moto ila lazima usemwe ili ujue kama mwanaume utaamua kunyoa au kufuga nywele
Ukweli hakuna mwanamke aliyeajiriwa mwenye mwanaume mmoja sahau kabisa ewe mwanaume mwenye akili timamu, hata huyo mkeo akijifanya hataki baby wa ofisini wenzake watamsukumizia na kumsumbua mpaka akubali kuwa na baby boy wake wa ofisini. Haya ndiyo tunayo yaona huku maofisini ndugu zangu
Enyi wanaume mliooa wanawake waajiriwa jueni jambo hili kwamba kwenye ndoa zenu hamko peke yenu, mwanamke wako aliye ajiriwa huku ofisini ana mume wake pia na wanapanga mpaka siku ya valentine days namna watakavyo nyanduana nakufurahia siku yao
Huyo mkeo mwajiriwa aliye kua ana kusaidia ukikwama ipo siku ukweli na kuambia atakataa kukusaidia vijisenti kidogo kumbe huyu mumewe wa kazini kwake kamwambia hela ya mwanamke haina matumizi, haitumiki na haihesabiki ndani ya ndoa ni ya kwake peke yake
Huyo mkeo ana mume wake wa ofisini anaye muomba hela na kumsimulia madudu yako unayomfanyia huko ndani ya ndoa yenu, atamuambia huyo baby wake wewe unamtesa na haumpi raha ya maisha.
Huyo mkeo mwajiriwa ana mume wake ambae siku wakienda ziara za kikazi au kwenye semina anampa utelezi huku anakung'ong'a wewe, hakika anampea yote kuliko anavyokupea wewe huko ndani ya ndoa
Hakika huyo mkeo muajiriwa ana mume wake ofisini anayemliwaza na kumpafuraha ambazo nyumbani ana sema hazipati , huku atabebwa, atakumbatiwa kwa mahaba mazito huku akinusa harufu ya manukato mazuri ya mume wake wa kazini si chini ya sekunde , watatoka breakfast na lunch time huku wameshikana mikono atakula kwa bili ya mumewe wa kazini tena sehemu za migahawa nzuri nzuri na wakimaliza watarudi ofisini huku akiwa na furaha tele wakipiga story za hapa na pale
Huyo mke wako ana mume wake ambaye huku kazini watacheza na kufanya utoto wote ikiwemo kumvuta kwenye hivi viti vya matairi boss akiondoka, kutaniana na kumshikashika mpaka aloe shwaaa
Huyo mkeo muajiriwa hakika ipo siku atachelewa kurudi nyumbani akisingizia anapiga kazi hadi overtime atasema ana extra days ila kaa ukijua yupo na mumewe wa ofisini akila maisha huku anakung'ong'a wewe mumewe wa ndoa
Huyo mkeo mbaya zaidi akiwa ofisi moja na ex-wake kaa ukijua wewe ni geresha tuu na huyo ex wake ndiye mumewe ni vile tuu analala kwako
Huyo mkeo mwajiriwa ipo siku atakuambia amechoka maisha haya ya mateso ili hali humtesi kumbe kapumbazwa na mumewe wa ofisini kwake
Hakika huyo mkeo wa ndoa atakuwekea visirani, visasi, na viugomvi ugomvi ili uingie kingi mfarakane aivunje ndoa mgawane mali aweze kwenda kuenjoy na baby wake wa kazini
Hakika huyo mkeo wako ana mume wake wakazini anaye mzuzua mpaka akuone wewe mumewe humpi uhuru na ataanza kukudai uhuru hakika.
Ndugu zangu wanaume wanawake waliumbwa kwaajili yetu na sio sisi kwaajili yao, sasa kaa ukijua huyo mkeo wa ndoa mama watoto wako muajiriwa huku kazini kwake ana mume wake wanae kula nae maisha
Wewe mkeo ni mama wa nyumbani? Vipi kale kashamba boy kako hakamsugui? Wanawake waache wajichunge wenyewe, mama hawajiheshimu hata siyo wafanyakazi watapigwa tu!Sina sonona nipo smart zaidi ya unavyofikiria wewe. Nasema ukweli mchungu watu wapone
Hatari tupu aiseehao wanawake zenu waajiriwa mnaosema wanajiheshimu mkae mkijua ni wake za wanaume maofisini wa hadhi za juu yani H.O.D, kama mnabisha angalieni muda wa lunch wale majamaa wenye vyeo vikubwa wanavyo watongoza kimasihara na jumamosi wanaenda kuliwa juu ya meza za maofisini baada ya nusu siku kuisha.
Nilishawahi kufanya ofisi moja dodoma jina kampuni ilikua mitaa jirani kidogo na nyerere squire pale. Kuna mama mtu mzima anajiheshimu sana na ana vaa kwa stara mno . Yule mama ilifika kipindi nikawa na muita hadi mama japo alikua msaidizi wa incharge . incharge asipokuwepo ana kaimu
Yule mama staff walikua wanamuwaza sana yani story za kipuuzi na utani hayupo ni mstaarabu mno. Siku moja tukaambiwa mkaguzi anatinga jtatu ase. Jumamosi kama kawa tukaenda kumalizia viporo rekebisha kazi . Print document tulizokua tunapiga watu tarehe bila sababu mpaka mida ya saa tisa baadae watu wakawa wanasepa. Ila akibaki manager na huyo mama (staff) . Mimi na system administrator tukaenda gorofani deparment ya finance kufanya yetu huko wakajua tumesepa.
Alo tulikaa huko hadi saa nne usiku tukitenda dhambi japo wale walinzi walikua wanajua ndani yupo manager na huyo maza kumbe tupo wengine. Ndugu yangu tumemaliza kutenda dhambi zetu tukasema acha tukaweke mambo sawa ofisi no 15 kile chumba kilikua hakina cctv camera , ase tuliyo shuhudia ofisi no 15 kutoka kwa manager na huyo mama mwenye heshima zake ilikua ni aibu tupu. Jamaa alitusihi sana tukae kimnya akatuambia anajua michezo yetu tukamjibu hatuna shida. Yule mama alishindwa kabisa kututizama machoni cz kuhusu uharibifu hasa hasa wa watoto wa field na intern na wake za watu tulikua ni sisi na alikua anatusema sana vibaya .
Alijikaza mno baadae kwa aya ya uso akachukua ruhusa ya siku kadhaa na alipo rudi akaamua kututongoza na sisi kila mtu na muda wake tumle ili ajisikie amani.
Kweli hatuku kwepesha tulikuja kumla pale pale ofisini nakumbuka mimi nilimlia chooni kainama napiga machine mwezangu ananiadisia alimlia mle mle no 15. Na mpaka sasa nikienda dom nikitaka mzigo napewa na nikilia kishida kidogo napewa hela na huyo mama mke wa mtu.
Miezi kadhaa manager alikuja mfanyia mpango systeam administrator akaamishiwa alipokua anaomba kuamishiwa aende huko kwa mkewe japo mwazoni walikua wanamzungusha sana ila alimsaidia sana baadae baada ya kuwafuma.
Nb: kuna muda huyo mama anajutia sana kuliwa na sisi kumla ila anasema ni vishawishi tuu na yule alikua ni mkubwa wake alishindwa kabisa kukataa maana analinda ugali mumewe haeleweki, pia aliona kutupa kumnyandua ndiyo angeishi kwa amani pale ofisini na sisi akaamua kufanya hivyo.
Nb; sasa hao wanawake mnaosema wanajiheshimu wako wapi na wauliza. Ni kitendo cha muda tuu huyo mkeo mwajiriwa unayesema anajiheshimu na anaakili anajielewa analiwa kimasihara na member of H.O.Ds
Mpaka naondoka pale ofisini naenda ofisi nyingine manager alikua ni msela wangu kabisa na mlevi mwezangu baada ya kumfumania, mpaka baadhi ya wadada wakawa wanasema nimemloga manager mbona kawa msela sana na mimi na ni mtu mkali sana inakuaje tumezoeana ghafla
Wanaliwa sana mpaka wengine hufikia kuwa watumwa kwa maboss zao.Mwanamke anaefanya kazi huwa ana hadhi yake, Huwa haliwi na watu wa hovyo... We kubali tu mwenye kigenge anakubondea mkeo utulie
Kupima DNA mtoto hapa bongo ni kama kujisumbua. Utafahamu ndio sio mtoto wako ila itakupasa utoe matumizi kwa mtoto kwa mujibu wa sheriaMuwe mnapima na DNA za watoto wenu basi, lakini tumesema tunaoa mfanyakazi ilintusaidiane kazi