Hakika Rais Samia amenifurahisha sana kwa kuiondoa nchi kwenye muelekeo wa uchumi na China

Love your country, build your country don't depends on strangers to do for you.
It's okay to Love your country, but my country people wanai defile nchi yao. Hawana uwezo wala nia ya kuijenga bala kuendelea kuinajisi.
 
It's okay to Love your country, but my country people wanai defile nchi yao. Hawana uwezo wala nia ya kuijenga bala kuendelea kuinajisi.
Watu wanapenda nchi pale ambapo serikali ina wajibika kwa asilimia kubwa kwa maendeleo ya nchi.

Matatizo yana anzia kwenye serikali kwanza isipotaka kuwajibika kwa maendeleo ya nchi hii huwa ni tatizo kubwa
 
Well said.
Hata uchaguzi hawawezi kusimamia na wala hawakuweza kulinda, halafu leo hii wakakinde bandari.
Sisi badala tuungane tuwe tunajadili nini chakufanya kila mmoja kwa nafasi yake tuna ponda tu naku zira watu hawapati hasira
 
Samia kafungua nchi kwa papara mpaka mwishowe ametuacha uchi, sasa mwarabu anatuchungulia tu.
We jamaa unahangaika sana aisee,unazunguka kwenye kila thd na kupost the same! ulikua mpigaji pale port na sasa hofu imekujaa?
 
Nenda Lindi,Tanga, Pangani, Bagamoyo, Kilwa ukaone waarabu wanavyoacha mahali pamechoka. Ulishawahi kuona mfanyakazi wa Mwarabu amejenga japo kakibanda?
 
Labda kwa aina ya mikataba, ambalo tatizo huwa ni sisi wenyewe, maana hatupiganii wala kuweka mbele heshima na maslahi ya nchi, lakini waarabu hawana shida at all.
Kwa hiyo in your mind

Mwarabu: Nipe bandari yako nikuendeshee kwa miaka 20 halafu utakuwa unapima performance yangu, Mapato yote natuma kwenye serikali

Samia: Hapana fanya ivi, chukua bandari milele hapafu robo ya mapato utakuwa unanitumia kwenye account yangu uswisi.

Ndo unamaanisha hivo mkuu??
 
Nenda Lindi,Tanga, Pangani, Bagamoyo, Kilwa ukaone waarabu wanavyoacha mahali pamechoka. Ulishawahi kuona mfanyakazi wa Mwarabu amejenga japo kakibanda?
Sasa wewe unawaongelea wale waarabu wenu akina Mzee wa Mjegeje?🤣
Waarabu wa sasa wapo more modernised and westernised lijapo swala la maendeleo.
 
Hapo Mwarabu ana tatizo gani sasa?
 
Dhamira yake nzuri wewe unaijuaje kama hasimamii?
 
Mchina naye angepewa bandari

Ingekuwa balaa zaidi

Ova
 
Watanzania hata kusimamia miguu tu ni mgogoro
tunaweza mkuu. sema haya mashirika ya Umma viongozi wanachota sana
mbona mabenk haya makubwa yanaendeshwa na wabongo na yanatengeneza faida
mashirika ya umma vimemo vingi vya kukwepa kodi na kuchota hela za uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…