PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Kwa kuiondoa nchi kwenye muelekeo wa uchumi na China, hakika katika hili Rais Samia anastahili pongezi na binafsi nampongeza sana.
Wakati wote nilikua nina wasiwasi pale nilipoona kiongozi anaweka mafungamano ya kiuchumi na kijamii na Wachina, Wahindi na Waturuki. Hawa pamoja na mafanikio kwenye nchi zao lakini kamwe hawawezi kujuletea matokeo kwake, ni aina ya washirika fulani washenzi washenzi ambao katika ushirika wenu wao huumizwa na mafanikio yako (Sijui hii roho wachina wameiokota wapi).
Kwangu naona waarabu ni very best na hawa, kama tutaacha ujinga wetu wa kutokua makini, naamini waarabu tutafika nao mbali sana.
Kwa kuubadili uelekeo wa nchi kutoka China, India na Turkey na kuuelekeza kwa waarabu, hakika rais Samia umeutuliza moyo wangu.
Ninaweza nikapinga aina ya mikataba na hawa waarabu, lakini si wawekezaji wa kiarabu. Zaidi ninachojua mimi mikataba hii mibovu huwa inakua engineered na Watanzania wenyewe ili wavute percents zao sababu ya ubinafsi na ufisadi tu.