Hakika, tunahitaji kina Kweka wengi kwenye ndoa

ile clip ya katoto kake kamebebwa omeniumiza sana kama mama.
Kuanza upya sio ujinga jamani, i wish kila mtu angepewa roho kama yangu sioni hatari kuacha kila kitu kuanza moja na huaga sijiilizi mara 2!
 
Kweka is typing....
 
Huyo Kweka wenu ubinafsi tu ndio ulikuwa unamsumbua. Baada ya kuona ana saratani na hana siku za kuishi akaona asife mwenyewe. Wivu tu.
Kiumbe mbinafsi ni Mwanamke manake mwanaume anafanya kila kitu kunufaisha mkewe na watoto wake. Ila mwanamke akipata anatumia pekee au hupeleka kwao. Sasa mume kwani hana kwao?.
 
T
Turudi studio kupata matangazo
 
Mwanaume ambae hajakamilika asingefikia maamizi ya vle...
Una maanisha nini? Nikupe siri hakuna watu wenye Roho mbaya pale wakichukia au kukasirika km Gays, hasa Bottoms hawana kugeuka nyuma, na hawajui kitu kinaitwa msamaha, usicheze nao kiresi.
Ooooh wee haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…