๐๐๐ atakufa sasa hivi wee subiri tu.Daaah weeeh๐
Unatufaa sanaa pale hazinaNatakiwa nikusanye na kuyahifadhi na kuyalinda kwa wivu mkubwa.
๐๐๐
Swadaktaaa.Unatufaa sanaa pale hazina
Au tukutwange kijumbe kama Aunt Ez?Swadaktaaa.
Niwe muweka hazina plz.Au tukutwange kijumbe kama Aunt Ez?
Lakini sio Mali?Shida ipo sana na imeshawekwa wazi hapa
๐๐๐
๐๐๐ sio Mali, ni kingine kabisaa.Lakini sio Mali?
Kama ni Mali si kweli.
Nabisha kuhusu Mali๐๐๐ sio Mali, ni kingine kabisaa.
Kaone๐๐๐๐Naomba uweke hapa tafadhari, mambo kwa ushahidiiii. Jamaniii alooooh
๐๐Kaone๐๐๐๐
Kwa umbea sasa
Uje nikupe umbea roho yako isuhuzike๐๐๐
๐๐ Sema hapa hapa dolly hujui coca nipo nae kwenye tasnia ya habariUje nikupe umbea roho yako isuhuzike๐
Nikisema hapa wananipopoa๐๐๐si unaona.๐๐ Sema hapa hapa dolly hujui coca nipo nae kwenye tasnia ya habari
Em fungua pm nizame kunako mae ๐Nikisema hapa wananipopoa๐๐๐si unaona.
... yaani wewe almost posts zote kwenye huu uzi umezi-quote! Means karibu nusu ya posts kwenye huu uzi ni zako! Duh! Kweli umbea unaupenda!๐๐๐
Coca hatonishirikisha ๐ kanisani tulikuwepo mbona ๐คฃNgoja nimmegee mwandishi mwenzako na yeye aje akubwagie. Ila cocastic kanichekesha sana alivyosema alienda hadi kwenye hiyo nyumba bila kusahau leo alifika hadi kanisani๐โโ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐๐๐ wallah kuhusu hawa niliwiwa mno niwajue kiundani sana. Tena sababu ratiba zinanibana, vinginevyo ningefika hadi moshi mazishini.Ngoja nimmegee mwandishi mwenzako na yeye aje akubwagie. Ila cocastic kanichekesha sana alivyosema alienda hadi kwenye hiyo nyumba bila kusahau leo alifika hadi kanisani๐โโ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ