πππCoca hatonishirikisha π kanisani tulikuwepo mbona π€£
Naomba uje PM unigee huo ubuyu kwa utuo zaidi, PM iko wazi kabisaaNikisema hapa wananipopoaπππsi unaona.
Nakuja diha, πππUje nikupe umbea roho yako isuhuzikeπ
Cocastic saa nne nakuchek pm π€£π haiwezkn tufike mpk mbezi turudii patupuNakuja diha, πππ
Njoo chapuuuNakuja diha, πππ
Mimi nipo njiani nasindikiza mwiliππππ wallah kuhusu hawa niliwiwa mno niwajue kiundani sana. Tena sababu ratiba zinanibana, vinginevyo ningefika hadi moshi mazishini.
πππMakubwaNiko na Kweka bega kwa bega. Ati, nitafute mali kwa maumivu makubwa halafu unakuja tu kuzichuka na kuondoka nazo huku sehemu za nyuma ukizitingisha halafu nikuache?! Sahau!
Zile dakika za mwisho mwisho huwa mtu anafikiria legacy atakayoacha.Kweka nyumba alitaka ya nini ikiwa yeye ni marehemu mtarajiwa
Mazee toka umekosea wewe baasi unaona ndoa zote zipo hivyo aah sio kweli..Enzi za wazazi wetu, ndoa ilikuwa kusudi la Mungu. lakini kwa sasa ni upumbavu
Sema nilichogundua Watanzania bado wapo kwenye yale maneno ya Mwalimu Ujinga,Umasikini mpiganaji hauwezi kuua familia kwa sababu ya nyumba au gari nisikilize mimi huyo jamaa atakua ana ugonjwa wa akili sio bure anabakiza watoto kwenye majuto ya maisha yao yote kisa nyumba aisee huyo pimbi hana tofauti na muuza sembe..Kweka nyumba alitaka ya nini ikiwa yeye ni marehemu mtarajiwa
Ht mi siamini km.mali tuDaaah,hapa sio shida Mali,itakuwa wanashida zao,
Sema ukweli wanajua wenyewe wanandoa.
Hao mwili mmoja wakifika huko watasimama, aliyetaka mwenzake atangulie katangulizwaHuyo Kweka wenu ubinafsi tu ndio ulikuwa unamsumbua. Baada ya kuona ana saratani na hana siku za kuishi akaona asife mwenyewe. Wivu tu.
Bibie mambo!πππMakubwa
Sahihi Mkuu, wafike walau 100 tu akili iwakae sawa.Wakichomolewa nafsi kama 100 hivi watajipanga, ndoa iheshimiwe na wote
Haijalishi, ametuwakilisha vyema
Wanawake wengi wanawau wanaume zao wakishajihakikishia kuwa na mali+watoto lazma vitimbwi vianze pia ningemshauri kweka achunguze hiyo saratani inasababishwa na nini pengine aliwekewa hata stillwire kwenye chakula
... ulikuwa unamboost? π ... nje ya hapo ungejuaje?Hawa wanataka hadi niwapostie picha nikiwa na Kweka ndio wajue namjua vizuri hawaππππ
Unamfokea nani na hayo maandishi yako makubwa?π... ulikuwa unamboost? π ... nje ya hapo ungejuaje?