Priscallia
JF-Expert Member
- Nov 9, 2019
- 496
- 2,449
Kwa ufupi mkishika hela za ghafla mnatuona hatuna maana tena ilihali wakati wa shida tulikuwa pamoja.
Hakuna kitu kinauma kwetu wanawake kama kuona mwanamme ulimpigania, akafanikiwa halafu baada ya kufanikiwa tu mapenzi na pesa anafaidi mwanamke mwingine.
Huu mwaka nimeumaliza vibaya sana, ila Mungu atanilipia 😢, sitokubali hili lipite.