Hakika wanaume mna akili za ajabu sana. Kwanini mkipata pesa mnabadilika sana?

Hakika wanaume mna akili za ajabu sana. Kwanini mkipata pesa mnabadilika sana?

Nanukuu "Hakika wanaume mna akili za ajabu sana"
Mwisho wa kunukuu.

Maoni yangu;-
Nafikiri huyo ameshakufunza kitu kwaiyo tafuta/ mkubalie asiye na akili za ajabu sana.

Hitimisho;-
Pole sana bibie, achana na visasi songa mbele, naamini hata Mungu wako uli/unamkosea mara kibao lakini hajakuchukia.
 
Staki maskini kabisa heri huyo mwenye hela zake maana namjua tabia yake kuliko maskini anayejinyemyekeza kiunafiki, ujitoe Hadi tone la mwisho la damu, then mambo yakiwa mazuri aanze kukupiga matukio hapo lazima ufe na pressure ukitegemea ulijitoa kwa moyo lazima uugue maradhi.
Mimi staki huo ujinga wa mwanaume asiye na mbele wala nyuma kabisa
Mtahishia kujiingizia ma chupa ya soda tuu kwa akili hz
 
Kwa ufupi mkishika hela za ghafla mnatuona hatuna maana tena ilihali wakati wa shida tulikuwa pamoja.

Hakuna kitu kinauma kwetu wanawake kama kuona mwanamme ulimpigania, akafanikiwa halafu baada ya kufanikiwa tu mapenzi na pesa anafaidi mwanamke mwingine.

Huu mwaka nimeumaliza vibaya sana, ila Mungu atanilipia 😢, sitokubali hili li
mroge tu dada Mungu atakuelewa.
 
Ww tumekusikiliza sasa bado yy tumsikilize afu tutoe uamuzi..maana sasa hivi mnakalia chupa unyumba mnatunyima..hamueleweki Kama unga wa ngano ....
 
Umempigania wewe ndio mzazi wake?😆😆😆
Anyway,wanawake mpunguze kupangia bajeti pesa za wanaume zenu,mwanamke ili usiteseke na kisicho cha kwako pambana upewe/update mtaji wa biashara ili upate kilicho cha kwako,vinginevyo utalalamika kunyimwa pesa/mwanaume kubadilika mpaka uzeeni
 
Kwa ufupi mkishika hela za ghafla mnatuona hatuna maana tena ilihali wakati wa shida tulikuwa pamoja.

Hakuna kitu kinauma kwetu wanawake kama kuona mwanamme ulimpigania, akafanikiwa halafu baada ya kufanikiwa tu mapenzi na pesa anafaidi mwanamke mwingine.

Huu mwaka nimeumaliza vibaya sana, ila Mungu atanilipia [emoji22], sitokubali hili lipite.

Kama umeamua Mungu akulipie mwache afanye yeye,achana na sitokubali lipite
 
Kwa ufupi mkishika hela za ghafla mnatuona hatuna maana tena ilihali wakati wa shida tulikuwa pamoja.

Hakuna kitu kinauma kwetu wanawake kama kuona mwanamme ulimpigania, akafanikiwa halafu baada ya kufanikiwa tu mapenzi na pesa anafaidi mwanamke mwingine.

Huu mwaka nimeumaliza vibaya sana, ila Mungu atanilipia 😢, sitokubali hili lipite.
cooldown mbn mchoyo utaki wenzio neema iwatokee
 
Kwa ufupi mkishika hela za ghafla mnatuona hatuna maana tena ilihali wakati wa shida tulikuwa pamoja.

Hakuna kitu kinauma kwetu wanawake kama kuona mwanamme ulimpigania, akafanikiwa halafu baada ya kufanikiwa tu mapenzi na pesa anafaidi mwanamke mwingine.

Huu mwaka nimeumaliza vibaya sana, ila Mungu atanilipia 😢, sitokubali hili lipite.
Pole sana.....mara nyingi tamaa mbaya zinapotushinda tunasahau haraka.....

Ila kama utabaki kumuamini Mungu, napenda nikuhakikishie kama hatajirudi Mungu atasawazisha matokeo mpaka ugeuke kumuonea huruma tena....
 
Kuna kijana
Mvulana
Na kuna mwanaume ww uyo wako ni kijana au mvulana ila mwanaume hapana mwanaume ni mtu mwenye msimamo na mwenye kusimamia maanuzi yake
 
Nyie wanawake sometimes huwa mnazingua.
anakuja mtu ana mapenzi ya dhati na wewe. but unamkataa kata kata na kejeli kibao.

ajabu anakuja msanii wa mapenzi chap una mkubali na una mpa kila kitu, mwisho wa siku anakuja kukuachia makovu mnabaki kulia lia.

iliwahi nitokea, nilimpenda sana nikamuonesha hisia zangu kwake. akanikataa.
akawa na kijana mzugaji (msanii wa mapenzi).
ajabu kapata mimba kijana wake kamtelekeza ndipo akarudi kwangu baada ya miaka 2.
Itategemea...kama mtu hujavutika nae unamkubalia vipi? Kosa la huyo wako ni kwa sababu alikurudia baada ya majanga kumkuta ilihali mwanzoni alikukataa ila kiukweli kuwa na mtu ambae hujavutika nae ni suala zito.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itategemea...kama mtu hujavutika nae unamkubalia vipi? Kosa la huyo wako ni kwa sababu alikurudia baada ya majanga kumkuta ilihali mwanzoni alikukataa ila kiukweli kuwa na mtu ambae hujavutika nae ni swala zito.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkataa pema, pabaya pana muhita.
Mwanaume unaonesha. upo seriously na mwanamke then ki rahisi rahisi anasema hivyo. likitokea la kutokea ndipo anarudi hapo tusemeje?
 
Pole kwa unayopitia. But Calm down; usije ukajiukuta unafanya jambo litakalopelekea kuyaharibu maisha yako.
 
Mkataa pema, pabaya pana muhita.
Mwanaume unaonesha. upo seriously na mwanamke then ki rahisi rahisi anasema hivyo. likitokea la kutokea ndipo anarudi hapo tusemeje?
Karudi baada ya majanga kumkuta...achana nae mana tayar alishakuonesha kwamba hakuhitaji. Point yangu kuu ilikua kuwa serious na mtu ndo sio kigezo eti nae atakupenda
 
Karudi baada ya majanga kumkuta...achana nae mana tayar alishakuonesha kwamba hakuhitaji. Point yangu kuu ilikua kuwa serious na mtu ndo sio kigezo eti nae atakupenda
Huwa mnatumia kigezo gani kuw na mtu?
kuna aliniambia ili awe na mimi hadi nimtajie kazi gani nafanya.
 
Back
Top Bottom