Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
[emoji23][emoji23] sasa huyo ni mfanyabiashara....Huwa mnatumia kigezo gani kuw na mtu?
kuna aliniambia ili awe na mimi hadi nimtajie kazi gani nafanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23] sasa huyo ni mfanyabiashara....Huwa mnatumia kigezo gani kuw na mtu?
kuna aliniambia ili awe na mimi hadi nimtajie kazi gani nafanya.
[emoji23]ahah nikaona ni mpotezee tu.
Kujua kazi ya mtu unaetaka kuanza nae mahusiano ni muhimu lakini kama inafika hali eti mpaka umtajie kazi yako ndio muwe wote jifikirie mara mbili.Huwa mnatumia kigezo gani kuw na mtu?
kuna aliniambia ili awe na mimi hadi nimtajie kazi gani nafanya.
Tunataka ready made bwana, mambo ya kuvulia akiwa na shida akukimbie nini hyo ka ku bet tu ni hatari, Bora kumfata mwrnye nachoWanaume matajiri walizaliwa na pesa walizonazo au walitafta?
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
[emoji23] poleee...we songa mbele hakukuelewa huyo[emoji23]ahah nikaona ni mpotezee tu.
sema nilimuuliza, unataka kuwa na mimi au kuwa na kazi yangu?
akasisitiza kama huniambii kazi yako hatuwezi kuwa wapenzi nikasema sawa mamaa.
sema nyie pasua kichwa (Huyu naye nilikuwa seriously naye nimfanye mke)
kwa kweli nimeamua nisonge mbele kama injili no way.
Tatizo ulikuwa unafanya mambo ambayo yanamuumiza ila kwako wewe ni kawaidaKwa ufupi mkishika hela za ghafla mnatuona hatuna maana tena ilihali wakati wa shida tulikuwa pamoja.
Hakuna kitu kinauma kwetu wanawake kama kuona mwanamme ulimpigania, akafanikiwa halafu baada ya kufanikiwa tu mapenzi na pesa anafaidi mwanamke mwingine.
Huu mwaka nimeumaliza vibaya sana, ila Mungu atanilipia 😢, sitokubali hili lipite.
Pole sana.Kwa ufupi mkishika hela za ghafla mnatuona hatuna maana tena ilihali wakati wa shida tulikuwa pamoja.
Hakuna kitu kinauma kwetu wanawake kama kuona mwanamme ulimpigania, akafanikiwa halafu baada ya kufanikiwa tu mapenzi na pesa anafaidi mwanamke mwingine.
Huu mwaka nimeumaliza vibaya sana, ila Mungu atanilipia [emoji22], sitokubali hili lipite.
Pole sana.
Sio wote
Nani kakupiga tukio Priscallia ?
Pole sana, wanaume maskini wakukimbia la ukoma, akipata hela ndio nguvu za kiume zinaomgezeka mara dufu na anaanza dharau. Pole sana
Pole dada P ndo ukubwa huo...sikushauri umfanyie kisasi the best revenge is forgiveness,ukiweka kisasi haitasaidia inaonesha kua bado una visasi,hasira nakadhalika..
Mali ni kitu kidogo sana dear,utapata tu Omba Mungu kama riziki yako ipo utapata sehemu nyingine...kama amekukosea Mungu anaona atakulipa vzr tu,atakukumbuka maisha yote
Move on,omba Mungu atakupigania,Mali zinapita!najua inauma sana!mapenzi yanaumiza mnooo!haswa kwa mtu uliyewekeza nae mda mrefu!
Hapo una multiple feelings,umedhulumiwa mentally na materials.. Ila utapona tu!lia kadri uwezavyo,tukana uwezavyo ila usisahau kusema na Mungu!Kwa sisi tunaoamini kwenye Mungu!!
Mpotezee tu wanaume wengi wanapenda mkiachan ufubae au umsumbue sumbue ,sasa kama waweza mpotezee,ataumia multiple kuliko unavoumia wewe!vaa pendeza,go out,have fun.
Ni ngumu ila ukiamua unaweza!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipata mwingine usirudie kosa, marufuku kusaidia mwanaume, Yani Kama kufa Acha afe tu....nahisi wakishasaidiwa ego zao zinashuka....let him be a man, apambane mwenyewe.Huyu mwanamme nikikumbuka tulipotoka kichwa kinapata moto sana, kuna kipindi alipitia matatizo nikasimama kidete kuchukua majukumu ya mwanamme ila alipokuja kukaa sawa mapenzi ndio yakaisha kabisa akawa anakuja kulala kwangu anapojisikia yaani na uchungu sana.
Umekutana na limbukeni mmoja wa kiume basi unadhani wote tuko hivyo....
Achilia uwe na amani, anza upya na utapata nguvu za kupambana utapata vyako vya kukutosha.
Binafsi huwa namuogopa sana mtu mzima anapoamua kubadilika, kwa uwezo wangu sina nguvu za kumfanya chochote wala kumshawishi vyovyote, mtu asiyekumbuka nyuma ni mtu wa hatari sana, Muache!
Si mnasemaga kuwa tutafte pesa tufaidi watoto wazuri kila mara humu😅 eti tusije ishia kuwaita shemeji 😅Kwa ufupi mkishika hela za ghafla mnatuona hatuna maana tena ilihali wakati wa shida tulikuwa pamoja.
Hakuna kitu kinauma kwetu wanawake kama kuona mwanamme ulimpigania, akafanikiwa halafu baada ya kufanikiwa tu mapenzi na pesa anafaidi mwanamke mwingine.
Huu mwaka nimeumaliza vibaya sana, ila Mungu atanilipia 😢, sitokubali hili lipite.