Wakati hana hela unakumbuka kauli zako za dharau na maneno yako ya jeuri ambayo yalikuwa yanakutoka tu bila brake kisa mwanaume wako kipindi kile hana cha kukufanya na wewe ukaona ndo mda wa kuishi nae kwa dharau,mda wa kumjibu unavyotaka!!!
Sasa nikupe tu taarifa yale maneno yako hakuyasahau kule kumpangia kwako mda wa kumpa papachu napo hajasahau.
Upuuzi uliokuwa unafanya kipindi hana hela ni bora uache mara moja maana ndo mda wake wa kulipiza kisasi.
Hela inamfanya mwanaume kuwa na high libido hilo nakubali,linamfanya apate attention kubwa hilo nakubali.Ila ukiona umalaya umekuja na dharau za wazi wazi ujue ni mda wa malipo,jitathimini.