Hakika wanaume mna akili za ajabu sana. Kwanini mkipata pesa mnabadilika sana?

Hakika wanaume mna akili za ajabu sana. Kwanini mkipata pesa mnabadilika sana?

Pole dada P ndo ukubwa huo...sikushauri umfanyie kisasi the best revenge is forgiveness,ukiweka kisasi haitasaidia inaonesha kua bado una visasi,hasira nakadhalika..
Mali ni kitu kidogo sana dear,utapata tu Omba Mungu kama riziki yako ipo utapata sehemu nyingine...kama amekukosea Mungu anaona atakulipa vzr tu,atakukumbuka maisha yote

Move on,omba Mungu atakupigania,Mali zinapita!najua inauma sana!mapenzi yanaumiza mnooo!haswa kwa mtu uliyewekeza nae mda mrefu!
Hapo una multiple feelings,umedhulumiwa mentally na materials.. Ila utapona tu!lia kadri uwezavyo,tukana uwezavyo ila usisahau kusema na Mungu!Kwa sisi tunaoamini kwenye Mungu!!

Mpotezee tu wanaume wengi wanapenda mkiachan ufubae au umsumbue sumbue ,sasa kama waweza mpotezee,ataumia multiple kuliko unavoumia wewe!vaa pendeza,go out,have fun.
Ni ngumu ila ukiamua unaweza!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana lolote mkwara mbuzi huo analeta,istoshe maisha ni matamu sana acha mtu ale pesa yake...kwani kutafuta akili kubwa inatumika ila kutumia hakuhitaji ushauri...alisikika mchungaji mmoja akinena haya[emoji16]
 
Staki maskini kabisa heri huyo mwenye hela zake maana namjua tabia yake kuliko maskini anayejinyemyekeza kiunafiki, ujitoe Hadi tone la mwisho la damu, then mambo yakiwa mazuri aanze kukupiga matukio hapo lazima ufe na pressure ukitegemea ulijitoa kwa moyo lazima uugue maradhi.
Mimi staki huo ujinga wa mwanaume asiye na mbele wala nyuma kabisa
Hebu fanya upite pale la mama mikocheni wakupe whisky yoyote bila ntalipa
 
Pole dada P ndo ukubwa huo...sikushauri umfanyie kisasi the best revenge is forgiveness,ukiweka kisasi haitasaidia inaonesha kua bado una visasi,hasira nakadhalika..
Mali ni kitu kidogo sana dear,utapata tu Omba Mungu kama riziki yako ipo utapata sehemu nyingine...kama amekukosea Mungu anaona atakulipa vzr tu,atakukumbuka maisha yote

Move on,omba Mungu atakupigania,Mali zinapita!najua inauma sana!mapenzi yanaumiza mnooo!haswa kwa mtu uliyewekeza nae mda mrefu!
Hapo una multiple feelings,umedhulumiwa mentally na materials.. Ila utapona tu!lia kadri uwezavyo,tukana uwezavyo ila usisahau kusema na Mungu!Kwa sisi tunaoamini kwenye Mungu!!

Mpotezee tu wanaume wengi wanapenda mkiachan ufubae au umsumbue sumbue ,sasa kama waweza mpotezee,ataumia multiple kuliko unavoumia wewe!vaa pendeza,go out,have fun.
Ni ngumu ila ukiamua unaweza!

Sent using Jamii Forums mobile app
Point!!![emoji2956][emoji3577]
 
Kumbuka yote uliyokuwa unamfanyia ni Kweli ulikuwa hamkwazi,
Mana ninavyojua Sisi wanaume huwa Kuna kipindi tukiwa hatuna kitu huwa tunajifanya mafala flani mpaka Mambo yawe Sawa,
Sasa nyie huwa hamuelewi mnatupanda kichwani Na vi sorry vyenu vya kinafki kumbe nasi tunawachora tu Muda ufike tuwakimbie.
Umenena vyema mkuu..
ME hapendi kuburuzwa na KE ila kama kabanwa kwny kona anaeza sema "...tumikia kafiri upate mradi wako"
Then anakubali kuwa mtumwa kwa muda..
Most likely ndo kimetokea kwa huyu manzi.
 
Kwa ufupi mkishika hela za ghafla mnatuona hatuna maana tena ilihali wakati wa shida tulikuwa pamoja.

Hakuna kitu kinauma kwetu wanawake kama kuona mwanamme ulimpigania, akafanikiwa halafu baada ya kufanikiwa tu mapenzi na pesa anafaidi mwanamke mwingine.

Huu mwaka nimeumaliza vibaya sana, ila Mungu atanilipia [emoji22], sitokubali hili lipite.
Wewe mshari tu . Hiyo sentensi ya mwisho inaonyesha unavyopenda Shari. Jamaa kaona uko mzinguaji kakimbia mpema ale maisha na amani
 
Mimi nitasaidia mwanaume ka ninavosaidia yoyote mwenye shida, bila ku expect anioe, sijui anipende hapana kwa kweli, wadada wengi sikuhizi vile wataka ndoa huwahonga wanaume na kuanza kufanya vitu vya maendeleo pamoja akiamini ni mume, kumbe mwanaume kafata mserereko wa kiulaini
Na hilo ndio limemcost priscilla😅 yeye alikuwa anamsaidia kama investment tu😎 ila matokeo yake ni kwamba jamaa hakuwa na interest nae. Moyo wa mtu kichaka haswaa mtu anaeonesha upendo leo anaweza kupiga U turn ya maana mpaka ukashangaa.
 
Umenena vyema mkuu..
ME hapendi kuburuzwa na KE ila kama kabanwa kwny kona anaeza sema "...tumikia kafiri upate mradi wako"
Then anakubali kuwa mtumwa kwa muda..
Most likely ndo kimetokea kwa huyu manzi.
Sio tu kwa huyo manzi wanawake wengi ndio zao sema wanapendaga public sympathy ila kimsingi kipindi mwanaume hana kitu huwa ni wanyanyasaji mno.

Mwanamke utakuta hana kauli nzuri kutwa kukulinganisha na akina flani walioko vyema ambao ni ma bf wa shoga zake au rafiki zako waliotusua. Mwanaume unavumilia tu ila roho inakuuma kichizi sababu unapata viji support vya hapa na pale ila kimsingi mwanamke unaona kabisa hana adabu na anakudharau ila yeye haoni kama anaharibu.

Mara mbunye anakupa kwa masimango,,, “yani we unachojua ni kutmba tu” ungekuwa unatafta hela kwa nguvu kama unavyopenda K tungekuwa mbali sana.

Kwa hali hii usitegemee huyu mwanaume wa hivi akifanikiwa atawaza kuwa na wewe never! Yani chap mambo yanageukaga kwa speed ya 5G kudadadeki mtu anabaki kuanza kulalamika yani wanaume wakipata hela wanabadilika sana.
 
Mkuu umeenda deep sana ..na huo ndo ukwel...Demu alijiachia tuu coz pengine hakumuelewa jamaa kivile so akawa anaendelea kupokea requests na pengine kuna uwezekano alikua ana waendekeza so called Marafiki wa kiume + kuwekana ma status ye anaona sawa tuu kumbe muhuni anamlia timing tuu ..jamaa kaja kuzipata kaona ampige chini
Ndio mademu walivyo hasa mkidumu muda mrefu ila akiachwa anatafta public sympathy tu😅!

“The problem is not waiting but your attitude during the time of waiting.”

Imewagharimu wengi sana hii ila kwa wale wanawake wakarimu sana very supportive and empathetic ndio unakuta ananunuliwa Bentley au Range Rover kama demu wa Davido😅
 
Sio tu kwa huyo manzi wanawake wengi ndio zao sema wanapendaga public sympathy ila kimsingi kipindi mwanaume hana kitu huwa ni wanyanyasaji mno.

Mwanamke utakuta hana kauli nzuri kutwa kukulinganisha na akina flani walioko vyema ambao ni ma bf wa shoga zake au rafiki zako waliotusua. Mwanaume unavumilia tu ila roho inakuuma kichizi sababu unapata viji support vya hapa na pale ila kimsingi mwanamke unaona kabisa hana adabu na anakudharau ila yeye haoni kama anaharibu.

Mara mbunye anakupa kwa masimango,,, “yani we unachojua ni kutmba tu” ungekuwa unatafta hela kwa nguvu kama unavyopenda K tungekuwa mbali sana.

Kwa hali hii usitegemee huyu mwanaume wa hivi akifanikiwa atawaza kuwa na wewe never! Yani chap mambo yanageukaga kwa speed ya 5G kudadadeki mtu anabaki kuanza kulalamika yani wanaume wakipata hela wanabadilika sana.
Ungekuwa unatafta Ela kw nguvu Kam unavopend K [emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kinachonishangaza comment za hivi mleta mada ni kama hazioni vile.
Hahahaahah yani ukiwa huna hela demu anaweza akakutishia hata muachane tu sababu anajua huna jeuri ya kumuacha utajibebisha tu😅 maniner walahi!

Zile kauli za...”mi sioni faida hata ya kuwa na wewe maana mwanaume unisaidii chochote yani singine naona bora hata mtu uwe single tu”

Hahahah hii ni dharau ya hali ya juu akyanani. Halafu siku mtu akipigwa chini anakuja kutafta huruma ya jamii!!! Oh katangaza ndoa na mwengine mi kaniacha .

Wanawake midomo inawaponza sana aisee.
 
Ukipata mwingine usirudie kosa, marufuku kusaidia mwanaume, Yani Kama kufa Acha afe tu....nahisi wakishasaidiwa ego zao zinashuka....let him be a man, apambane mwenyewe.
Yeye ndo akusaidie wewe, Kama huna tatizo tafuta hata matatizo ya kwenye ukoo huko.
We ndo unampoteza kabisaaa
 
Kabisa shosti, hivi unaweza uza asset zaidi ya milioni mia ukatumia pesa yote kufanyia starehe kweli bila kukumbuka mtu aliyekufadhili wakati ulipokuwa na shida, nimehuzunika sana kwa kweli pesa wanafaidi wanawake wengine oopss [emoji25][emoji24]
Kwahio kumbe kinachokuuma ni kuuza asset yake na kukupiga chini😅 dah pole sana ila sikuingine acha kuangalia hela kwenye mapenzi😅kumbe njaa ndio inakutesa sio kuachwa!
 
Hajawahi Kukufumania. SMS unachat na Wanaume Wengine alipokuwa Hana Kitu!?? Maana Unaweza Kusema Umemvumilia Kumbe Ulikuwa unadanga Huku Upo Kwake
Hili akijibu nitag maana hawa wanawake wetu wa kiswahili ni balaa! Hapo utaambiwa tatizo lako hujiamini😅😅😅

Utapigia wanaume wenzio simu mpaka lini dah 😅 sitaki kukumbuka maisha hayo!!!
 
Back
Top Bottom