Hakika wanaume mna akili za ajabu sana. Kwanini mkipata pesa mnabadilika sana?

Hakika wanaume mna akili za ajabu sana. Kwanini mkipata pesa mnabadilika sana?


Ulimwambia ukweli kuhusu hii hali yako kabla hamjakutana lakini
Sasa hii inahusikaje hapa kwenye huu Uzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stori ya upande mmoja Hii,
Ila uskute uchokoz umeanza wewe.

Tatizo lenu mnakuaga wanyanyasaji Sana tukiwa hatuna hela afu nyie mna vihela vya kubadilishia mboga.

Tukizipata Ni MDA wa kurevenge tu kufidia manyanyaso[emoji2]
 
Kwa ufupi mkishika hela za ghafla mnatuona hatuna maana tena ilihali wakati wa shida tulikuwa pamoja.

Hakuna kitu kinauma kwetu wanawake kama kuona mwanamme ulimpigania, akafanikiwa halafu baada ya kufanikiwa tu mapenzi na pesa anafaidi mwanamke mwingine.

Huu mwaka nimeumaliza vibaya sana, ila Mungu atanilipia [emoji22], sitokubali hili lipite.
Hela /pesa kiasi gani
Embu nieleze ameshika zaidi ya 500m Cash na 700m kama Amana .

Otherwise bado wako hajafanikiwa kama unavyofikiri just amefika state anahitaji kujionana yeye katika maisha yake na wewe na sio kubadilika .mpe muda ajitutumue mtaa ndio furaha na itamfanya asiwaze kushuka kiuchumu.

Otherwise Be Good to him.
 
Pole sanaaa Best,ni kweli mwanaume akiwa Hana pesa mnapoanzisha mahusiano anakuwa na upendo wa kweli Tena wa agape.Mnaweza mkaanza chini siku mnapoinuka kimafanikio kiuchumi baadhi ya wanaume huanza kubadilisha na kumsahau yule waliyepambana naye katika kuyatafuta mafanikio.Ni kweli inaumiza sana ila samehe na usahau,Maana uliyempenda na kumwamini amesariti kambi.Ndio maana Kuna msemo unasema Nukuu "Pata pesa tujue tabia yako"
Usema kweli, mahusiano pindi ya hustle la maisha inafikia kipindi mwanaume anajua kabisa class yake ila hana vyanzo, siku kapata anaenda kwenye class yake.. Hii pia hutokea kwa wanawake.. sema ka hekima kanatakiwa
 
Hahahaahah yani ukiwa huna hela demu anaweza akakutishia hata muachane tu sababu anajua huna jeuri ya kumuacha utajibebisha tu[emoji28] maniner walahi!

Zile kauli za...”mi sioni faida hata ya kuwa na wewe maana mwanaume unisaidii chochote yani singine naona bora hata mtu uwe single tu”

Hahahah hii ni dharau ya hali ya juu akyanani. Halafu siku mtu akipigwa chini anakuja kutafta huruma ya jamii!!! Oh katangaza ndoa na mwengine mi kaniacha .

Wanawake midomo inawaponza sana aisee.
Hahahaaaaa kuna mmoja alijaribu aisee alifurahi. Sitakagi uzuzu mimi.
 
Kwa ufupi mkishika hela za ghafla mnatuona hatuna maana tena ilihali wakati wa shida tulikuwa pamoja.

Hakuna kitu kinauma kwetu wanawake kama kuona mwanamme ulimpigania, akafanikiwa halafu baada ya kufanikiwa tu mapenzi na pesa anafaidi mwanamke mwingine.

Huu mwaka nimeumaliza vibaya sana, ila Mungu atanilipia 😢, sitokubali hili lipite.
Nihakikishie kwanza hiyo kwenye Avatar ni mipaja yako? Halafu nije pm. Hupaswi kuteseka nina maajabu kwako.
 
Back
Top Bottom