Sio tu kwa huyo manzi wanawake wengi ndio zao sema wanapendaga public sympathy ila kimsingi kipindi mwanaume hana kitu huwa ni wanyanyasaji mno.
Mwanamke utakuta hana kauli nzuri kutwa kukulinganisha na akina flani walioko vyema ambao ni ma bf wa shoga zake au rafiki zako waliotusua. Mwanaume unavumilia tu ila roho inakuuma kichizi sababu unapata viji support vya hapa na pale ila kimsingi mwanamke unaona kabisa hana adabu na anakudharau ila yeye haoni kama anaharibu.
Mara mbunye anakupa kwa masimango,,, “yani we unachojua ni kutmba tu” ungekuwa unatafta hela kwa nguvu kama unavyopenda K tungekuwa mbali sana.
Kwa hali hii usitegemee huyu mwanaume wa hivi akifanikiwa atawaza kuwa na wewe never! Yani chap mambo yanageukaga kwa speed ya 5G kudadadeki mtu anabaki kuanza kulalamika yani wanaume wakipata hela wanabadilika sana.