copernicucci98
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 1,232
- 2,362
Nakubali, kuna upande wa Mwanaume kubadilika cz anakuwa na access na vitu vingi vizuri, LKN kuna suala la Mwanamke pia kubadilika;--Kwa ufupi mkishika hela za ghafla mnatuona hatuna maana tena ilihali wakati wa shida tulikuwa pamoja.
Hakuna kitu kinauma kwetu wanawake kama kuona mwanamme ulimpigania, akafanikiwa halafu baada ya kufanikiwa tu mapenzi na pesa anafaidi mwanamke mwingine.
Huu mwaka nimeumaliza vibaya sana, ila Mungu atanilipia 😢, sitokubali hili lipite.
1. Pesa zilizoongezeka zinamfanya aote vitambi kila sehemu kwasababu ya kubweteka
2. Pesa zilizoongezeka zinamfanya aone kama yeye ndo aliyesababisha hizo pesa kupatikana, anasahau Mwanaume alianza safari ya kupambana toka anaanza darasa la I huko zamani, amekuja kuonana na mwanamke 20 years later
3. #2 hapo juu inaanza kumfanya mwanamme aanze kuwaza mabaya mabaya tu ya Mwanamke, "hivi anajua safari yangu imeanzia lini huyu Mwanamama"?.. Kama mtakuwa hamuongei mara kwa mara kutatua hizi changamoto, mnakuwa mmekwisha.
In short, Mwanamke na Mwanamume sote tunakuwa tuna mchango kwenye kubadilika kwa Mwanamume baada ya pesa kuongezeka!
Over and Out!