Hakika wanaume mna akili za ajabu sana. Kwanini mkipata pesa mnabadilika sana?

Priscallia

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2019
Posts
496
Reaction score
2,449
Kwa ufupi mkishika hela za ghafla mnatuona hatuna maana tena ilihali wakati wa shida tulikuwa pamoja.

Hakuna kitu kinauma kwetu wanawake kama kuona mwanamme ulimpigania, akafanikiwa halafu baada ya kufanikiwa tu mapenzi na pesa anafaidi mwanamke mwingine.

Huu mwaka nimeumaliza vibaya sana, ila Mungu atanilipia 😢, sitokubali hili lipite.
 
USITUJUMUISHE WANAUME WOTE SASA, WENGINE HATUPO HIVYO.... BE SPECIFIC, PAMBANA NA HUYO WAKO ALIYECHANA MKEKA

BTW POLE

NB: Hivi umesahau kale kamsemo kanachosema pata pesa tujue tabia zako
 
Hivi umeshawahi kujiuliza kwanini bikira ya mwanamke hutolewa na mtu mmoja tu, ila mtu huyo anaweza kubikiri kijiji kizima?

Waheshimu sana wanaume wao ndio mbegu ya dunia na wanawake ni maua
 
Kuna mambo haya mawili naweza kusema.

Maisha ya Duniani ni akili, wakati yeye anafanikiwa wewe ulikuwa wap? Mapenz ndio yalikufanya ukubali yeye atunze pesa zote?? Usikubali tena.
Maisha ni akili, people change.

Na pia, watu wema tunajuana, kama wewe si mtu mpenda mema, usitegemee kupata Mpenzi mwema.
"Aliye mdhalimu katika lililo dogo, huwa mdhalimu hata kwa kubwa pia"
 
Pole sana
 
Dah yaani pamoja na kuwa na miguu mizuri hivyo jamaa bado kaenda kusasambua mbususu nyingine....kweli wanaume sie hatuna maana kabisa likija suala la mbususu
 
Aanza kuuza mechi zote za kombe la club bingwa. Pia mchane mwambie baraka za pesa ni pamoja na maombi na nyota yangu kuwa makini ntakuombea urudi kama zamani usitake nifike huko.
 
Kumbuka yote uliyokuwa unamfanyia ni Kweli ulikuwa hamkwazi,
Mana ninavyojua Sisi wanaume huwa Kuna kipindi tukiwa hatuna kitu huwa tunajifanya mafala flani mpaka Mambo yawe Sawa,
Sasa nyie huwa hamuelewi mnatupanda kichwani Na vi sorry vyenu vya kinafki kumbe nasi tunawachora tu Muda ufike tuwakimbie.
 
Nyie mnaoshauri acheni ameshafanya maamuzi huyu! Keshasema hakubali hili lipite sasa tulieni msikilizie atafanya nini Kama ataroga sawa Kama atafanya tukio la ushetani sawa!.
Ila baharia mwenzetu huko alipo ajiandae kwa mabomu motomoto!
 

Nani kakupiga tukio Priscallia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…