Hakika wanaume mna akili za ajabu sana. Kwanini mkipata pesa mnabadilika sana?

Sasa hii inahusikaje hapa kwenye huu Uzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stori ya upande mmoja Hii,
Ila uskute uchokoz umeanza wewe.

Tatizo lenu mnakuaga wanyanyasaji Sana tukiwa hatuna hela afu nyie mna vihela vya kubadilishia mboga.

Tukizipata Ni MDA wa kurevenge tu kufidia manyanyaso[emoji2]
 
Hela /pesa kiasi gani
Embu nieleze ameshika zaidi ya 500m Cash na 700m kama Amana .

Otherwise bado wako hajafanikiwa kama unavyofikiri just amefika state anahitaji kujionana yeye katika maisha yake na wewe na sio kubadilika .mpe muda ajitutumue mtaa ndio furaha na itamfanya asiwaze kushuka kiuchumu.

Otherwise Be Good to him.
 
Usema kweli, mahusiano pindi ya hustle la maisha inafikia kipindi mwanaume anajua kabisa class yake ila hana vyanzo, siku kapata anaenda kwenye class yake.. Hii pia hutokea kwa wanawake.. sema ka hekima kanatakiwa
 
Hahahaaaaa kuna mmoja alijaribu aisee alifurahi. Sitakagi uzuzu mimi.
 
Nihakikishie kwanza hiyo kwenye Avatar ni mipaja yako? Halafu nije pm. Hupaswi kuteseka nina maajabu kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…