Mpumbavu sana wewe tena kenge kabisa, unapotosha wadada1. Asiekunywa pombe (sio mlevi)
2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. Asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7. Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.mcheza kamari
10.
11..
Usijesema hukuambiwa
hapo ndipo hatukuelewana kumbeMlevi yuko radhi akununulie pombe na si chakula
Sawa da zuuhMpumbavu sana wewe tena kenge kabisa, unapotosha wadada
Anaekunywa gongo,komoni,jd wote walevihapo ndipo hatukuelewana kumbe
sizungumzi walevi nawazungumzia mabroo ambao
wana kazi zao wa ndinga zao wikiend wanakutana sehemu kubadilishana connections na madili kibao
sizungumzi wanywa pombe za buku jero bro
wale mimi siwaungi mkono
Azam TVMadaktar Wana shida gani?
🤣🤣🤣🤣 ili nilaumiwe na dunia!!Dada gani wewe huna upendo? Ungeniletea mchumba ningeshaingia kambani kilichobaki ni kulala tu
Madaktar Wana shida gani?
My country pipo😂🙌🏿Azam TV
Mwanajeshi anashida gani hapo
😂😂😂Muda wowote unakua mjane
Mfupi ana tatizo gani?1. Asiekunywa pombe (sio mlevi)
2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. Asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7. Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.mcheza kamari
10.
11..
Usijesema hukuambiwa
Gubu + Ving'ang'aniziMfupi ana tatizo gani?
🤣🤣🤣 Why not daktari?1. Asiekunywa pombe (sio mlevi)
2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. Asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7. Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.mcheza kamari
10.
11..
Usijesema hukuambiwa
Hiyo namba 8 tutolee ufafanuzi1. Asiekunywa pombe (sio mlevi)
2. Mfupi (ukiolewa nae ndo utajua maana ya ndoa ndoano)
3. Asiekua na hofu ya Mungu
4. Bahili (kama haezi kukuhudumia kwenye uchumba sahau kutunzwa vizuri kwenye ndoa)
5. Mwenye hela (ambazo hujui chanzo chake)
6. Anaezingatia 50/50 (wale wa "mimi siwezi kuoa goalkeeper")
7. Mwanajeshi, Dereva, mwanasiasa, DJ, Daktari, Mganga wa kienyeji
8. Mwenye elimu kubwa sana mfano PhD holder [hawa akili zao hazipo sawa)
9.mcheza kamari
10.
11..
Usijesema hukuambiwa
Ila babe akili zako!!Papuchi
Ndio hapo Sasa, mtoa mada kazinguaMwenye hofu ya Mungu wakati huo awe mlevi,😆
NA mimi ulinionea nini Atoto ?Ulitakiwa ufe singo, basi tu nilikuonea huruma🤣🤣🤣🤣
Unaijua vizuri theory of use and disuse? Kama huelewi ntakujuza vizuri kesho pombe zikiniishaHiyo namba 8 tutolee ufafanuzi
Sijaongelea walevi, nmezungumzia wanywa pombe.Ndio hapo Sasa, mtoa mada kazingua