Kesho nipo free so ntakesha leo naandika asubuh nazidrop zotee. Ntaiweka ya madam wa field ujenzi wa basket na mmama wa ela ya mchezo... ila hii ya kwenye mhhh😂😂😂Alafu hiki kisa na kile cha mmama wa michezo mbona hukuhadithia kwenye uzi wa kimasihara!!!
Au wewe ndo PSL god , ninyi vijana mna vijimambo sana😂😂😂 mi sjatoboa ila angalau nimeboresha maisha yangu...
Ni vizuri kama umekiri uongo pia upo kule, fantasy za namna hiyo girls wengi wanapenda japo ni ngumu kusema anahitaji umazagamue mahali pa hovyo.Mwanangu kuna visa ni vyauongo nakubali ila vingine ni ukweli ila mazingira huwez kuamini..
mfano mim na mwanangu wakati nipo advance nlihamia day mbeya baad ya kuhama iringa boarding. Tulikuwa tunajishughulisha na bajaji huku tunasoma na tulishawah mgonga abiria kwenye bajaji tukiendesha kwa zam kutokea city pub mpka kwake uyole ndani huko majumba mapya alipanga ..
Sijawah kuhadithia sababu najua watu watasema chai ila ni kisa cha kweli ambacho watu hawawez kuamini.... tatizo ni mazingira tu
Aaah kaka tajiri sio mkunjaji ivyo, anatoa mkono, 5k per day.kwa kila mfuko au ni elfu 4 kutwa😆
Bora niji fanye mgogo, ili niuze kahawa.Aaah kaka tajiri sio mkunjaji ivyo, anatoa mkono, 5k per day.
Nakubali ✊🏿👍🏾👊🏾Ee mkuu
Mkuu ni Yente tu, kikubwa muwe mnapga show show sio siku mbili tu mmewamiss madem zenu mnataka kurudi.Haina kwere askari wangu, nikija na wanangu wawili ni yente??
Dogo umeridhika wewe, hutaki kazi eeeh endelea kuka kijiweni dadeki zakoBora niji fanye mgogo, ili niuze kahawa.
5k si Bora uwe msukule, angalau uta Kula vizuri🤣😆
ma jobless pro max hawanaga madem, labda washamba ka kina Vishu Mtata 😆.Mkuu ni Yente tu, kikubwa muwe mnapga show show sio siku mbili tu mmewamiss madem zenu mnataka kurudi.
yaani nife kisa 5k, viroba 300 mtu mmoja argh bongo kazi🤣Dogo umeridhika wewe, hutaki kazi eeeh endelea kuka kijiweni dadeki zako
haya boss, arifu ana uliza Mna tutemezha Bei gani??.Mkuu ni Yente tu, kikubwa muwe mnapga show show sio siku mbili tu mmewamiss madem zenu mnataka kurudi.
Uswaze kaka mapema sana yaniOngezea na hiyo ya bajaji mkuu navisubiria vyote
Kwa wingi 😂😂 ☕ 🫖Ni vizuri kama umekiri uongo pia upo kule, fantasy za namna hiyo girls wengi wanapenda japo ni ngumu kusema anahitaji umazagamue mahali pa hovyo.
Wapelekee story tu, kikubwa ni gahawa isiishe kijiweni.
Hela haichagui jinsia ila upatikanaji wake unachagua. Jinsi waipatavyo baadhi ya Ke wewe Me huwezi kufanya ukaipata kwa njia hiyohiyo japo utaiita jina hilohilo HELA.Hela haijui jinsia. Kaza kichwa mkuu
PM zinamiminika huko kutaka hiyo nafasi ila nawaambia tayari ina mtu ambae ni wewe, ajabu wewe unaleta madoido.yaani nife kisa 5k, viroba 300 mtu mmoja argh bongo kazi🤣
Madem hata mimi sina, mbiringe za madem niliachana nazo kitambo kidogo.ma jobless pro max hawanaga madem, labda washamba ka kina Vishu Mtata 😆.
uta nijuza ni mkoa upi, ili vijana waibuke