Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
huna haja ya kuweweseka gentleman, jikite kwenye hojaIkitokea Abdul ametekwa na kesho hana macho atajisikiaje mzazi wake?,Na Ikitokea Jordan ametekwa halafu anaokotwa kesho hana macho baba Jordan atajisikiaje. Wengine bado tuko huko,ya mahakamani tuhifadhie mpaka siku nyingine.
