Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 11,208
- 20,517
Hii picha ni ya kusambaza kila Kona, kila uchochoro, kila nyumba
Hii picha ni ya kusambaza kila Kona, kila uchochoro, kila nyumba
Mbona alisema kashaacha. Kumbe karudia tena...We itakua shoga
Malizia kwa signature "Maamae zake mpenda ushoga" ha ha ha hahuu uropkaji wake ndio haswa umemfanya anasota korokoroni huyu kibaka na tapeli wa kisiasa nchini 🐒
Inakusaidia nini wewe mburula!!Hii picha ni ya kusambaza kila Kona, kila uchochoro, kila nyumba
Leo siasa imefanyika vyema. Dunia yote ilikuwa mahakamani. Lissu ataendelea kusalimia kwa salamu hiyo, mtake msitake.
Kupinga for the sake ya kupinga.Ukiwa mahakamani hutakiwi kusema chochote hakimu akishaketi Unaweza kuhukumiwa kwa kufanya tukio linalotafsiriwa kama ni contempt of court...wameamua kwamba Lissu atakuwa akiletwa mahakamani baada ya hakimu kuwa ameshaketi ili asiweze kusalimia kwa slogan ya NRNE na zaidi asichangamane na wafuasi wake kabla kesi haijaanza.
Cc Lord Denning
..wameamua kwamba Lissu atakuwa akiletwa mahakamani baada ya hakimu kuwa ameshaketi ili asiweze kusalimia kwa slogan ya NRNE na zaidi asichangamane na wafuasi wake kabla kesi haijaanza.
Cc Lord Denning
Hiyo imeshasambaa wanajifariji kwa sasa kunguni wa mama AbdulHii picha ni ya kusambaza kila Kona, kila uchochoro, kila nyumba
Sawasawa mitano tena.Hizo hasara mnazijua wenyewe washinda kwenye makaratasi.Mtanzania anachotaka huduma bora .Ukimwambia TRC imepata hasara hakuelewi kutwa anapanda SGR kwa raha zake hawezi kukusikiliza ukisema imepata hasara,ukienda TTCL ukisema imepata hasara haelewi yeye hana shida na mawasiliano ya simu na ukisema ATCL yapata hasara mtanzania wa kawaida haelewi kutwa anapanda ndege za ATCL atakuona mpiga porojo tu
Hayo ni mambo yenu wenye makaratasi ndio bila haya tunasema Samia Mitano tena maendeleo tunayaona na kufaidi ya TRC na treni zake za mwendo kasi ,ndege na simu
Hayo mengine hayatuhusu wapiga kura ni nyie washinda na makaratasi
Si ukakate hata wewe mbona unachelewa?Naomba mawakili wa serikali wakate rufaa.kupinga uamuzi wa huyo hakimu wa kuwapa onyo wahusika
Hiyo kesi ni nzito kudhalilisha muhimil wa mahakama na hakimu sio kitu kidogo
Kupinga for the sake ya kupinga.Ukiwa mahakamani hutakiwi kusema chochote hakimu akishaketi Unaweza kuhukumiwa kwa kufanya tukio linalotafsiriwa kama ni contempt of court.
Mahakama inaanza Mshtakiwa yupo nje ya jengo la Mahakama! 😁
Ningekuwa Lissu ningeendela na salamu hiyo kwa makusudi hata tarehe ijayo.
Mahakama inapofanya vitu vya hovyo, inapaswa kudharauliwa.
Hoja ni kwamba Hakimu akiingia,mtu yoyote hapaswi kupiga kelele mahakamani!jikite kwenye hoja bila kuweweseka gentleman 🐒
Hoja ni kwamba Hakimu akiingia,mtu yoyote hapaswi kupiga kelele mahakamani!
wakili msomoi mropokaji kupiga mayowe mahakamni ni kinyume na taalumaHoja ni kwamba Hakimu akiingia,mtu yoyote hapaswi kupiga kelele mahakamani!

..hakimu ameamua kwamba yeye atakuwa anamtangulia mshtakiwa Tundu Lissu kuingia mahakamani.
..hawataki Tundu Lissu atamke NRNE katika viunga vya mahakama.
..pia hawataki Tundu Lissu asalimiane na watu waliokuja kumtia moyo mahakamani.
Ikitokea Abdul ametekwa na kesho hana macho atajisikiaje mzazi wake?,Na Ikitokea Jordan ametekwa halafu anaokotwa kesho hana macho baba Jordan atajisikiaje. Wengine bado tuko huko,ya mahakamani tuhifadhie mpaka siku nyingine.huu uropkaji wake ndio haswa umemfanya anasota korokoroni huyu kibaka na tapeli wa kisiasa nchini 🐒