Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,418
- 4,031
Nakuasa tena, rekebika akili.maombezi ni kwa yule mpotoshaji wa mzinzi wa ufufuo na uzima gentleman 🐒
Nakuasa tena, rekebika akili.maombezi ni kwa yule mpotoshaji wa mzinzi wa ufufuo na uzima gentleman 🐒
Usinipangie cha kufanya , wanaume huwa hatupangiwi wewe papaijikite kwenye hoja na itaependeza zaidi gentleman 🐒
Hizo nguvu hamishia hapa hakimu wa kuchora.Huyu hakimu ana huruma sana ingekuwa mimi Lisu pamoja na hao waliopiga mayowe wangeniamiia Shikamoo hakimu na shikamoo mahakama mahakama hata kama wamenizidi umri
Utatukanwa na vilaza,hawajui chochote zaidi ya matusi,kumbukeni aliwahi ambiwa na Prof Kabudi wakiwa bungeni 2017 kuwa when you are called a lawyer u must have a sense of respect Leo kaangukia puaMahakama imempa onyo Tundu Lissu na wenzake kwa kupiga kelele na kuleta vurugu baada ya Hakimu kuingia ndani ya Chumba cha Mahakama.
Hakimu alipoingia Tundu Lissu alileta aliongea mahakamani kwa kuwaambia wafuasi "No Reforms No Election"
Hakimu ameeleza kuwa Mahakama inakuwa kamili pale anapokuwepo Hakimu, hivyo Hakimu anavyoingia Mahakamani akakaa, Mahakama inakuwa imekamilika bila kujali upande wowote upo au haupo, hivyo maneno ambayo yalisemwa na mshitakiwa Tundu Lissu ("No Reforms No Election" )hayakuwa sahihi kwasababu mahakama ilikuwa tayari imekaa. Na hata waliotikia hawakuwa sahihi kwasababu baada ya Mahakama tu kuwa imekaa, anayeongoza mahakama ni Hakimu na hakuna mwingine anayepaswa kuongea isipokuwa Mahakama kwa maana ya Hakimu.
Achana nae huyo. Ajira ya machawa ni kishangilia Kila kitu bila kutafakariMkuu umesikiliza kesi, au unatumia tu kwa mbele
Wewe lishoga dhuu uropkaji wake ndio haswa umemfanya anasota korokoroni huyu kibaka na tapeli wa kisiasa nchini [emoji205]
utakuwa unabanduliwa wewehuu uropkaji wake ndio haswa umemfanya anasota korokoroni huyu kibaka na tapeli wa kisiasa nchini 🐒
TutakuwepoNo Reforms No Election💪🏿💪🏿💪🏿📌📌🔨🔨✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿📌📌🔨🔨🔨
Serikali imejaa wazanzibari kila kona hadi wilayani usalama wako kimya. Na sasa subiri wabunge watakaojazwa katika uchaguzi Okt 2025. Usalama unatakiwa ukae ufikiri kwa makinin na utoe ushauri. Lakini TISS imejaa wajinga wanaoambiwa nini cha kufanya.Wala urojo na waimba taarab
Kesi tumefuatilia, mawakili wa utetezi walichonacho ni kuongea au kupayuka kwa sauti na kejeli lakn ni pointlessMkuu umesikiliza kesi, au unatumia tu kwa mbele
Tapeli wa kisiasa.Kuchamba kwingi Hadi anajipakaza mavihuu uropkaji wake ndio haswa umemfanya anasota korokoroni huyu kibaka na tapeli wa kisiasa nchini 🐒
Hizi mtu aliyefeli form 4 [division 0] na amepewa PhD za kutunukiwa nyingi na kulazimisha aitwe Dr.Lisu uwezo wake unakuzwa tu ni mtu wa kawaida mno mwenye uwezo mdogo mno ila tu ana mdomo usiokuwa na breki lakini kichwani hazimo za kutosha
Lisu ana akili gani kakaa miaka 20 yuko chini ya Mbowe division zero form six kama mwenyekiti wake na Mnyika division zero form six kama katibu mkuu wake CHADEMAHizi mtu aliyefeli form 4 [division 0] na amepewa PhD za kutunukiwa nyingi na kulazimisha aitwe Dr.
Na mtu aliyefika high school na akaenda chuo kikuu kusoma LLB na baadaye LLM
Hapo nani hazimo na ni nani hapo anayekuzwa?
Saa hizi nani mwenyekiti?Lisu ana akili gani kakaa miaka 20 yuko chini ya Mbowe division zero form six kama mwenyekiti wake na Mnyika division zero form six kama katibu mkuu wake CHADEMA
Huyo Dr aliyefeli form four na PhD zake za kutunukiwa ndio ana akili nyingi?Hizo akili nyingi Lisu zimeanza lini labda?
Tanzania inahitaji maendeleo sio makaratasi ya machapishoElimu ya Lissu ukitafuta machapisho imenyooka ila ya huyo Dr ina kona za kutosha kulikoni?
Mbona kuna viranja vibaka na matapeli wa kisiasa wengi tu,sema mfumo unawalinda.huu uropkaji wake ndio haswa umemfanya anasota korokoroni huyu kibaka na tapeli wa kisiasa nchini 🐒
Umesahau pia Tanzania tunahitaji hasara sio barabara nzuri.Tanzania inahitaji maendeleo sio makaratasi ya machapisho
Sisi tunataka barabara nzuri,hospitali, shule,masoko ya.mazao,maji safi nk
Nani alikwambia watanzania tunahitaji machapisho au vyeti vya shule , digrii ,au mavitabu na machapisho aliyoandika mtu au kingereza chake