Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Mahakama imempa onyo Tundu Lissu na wenzake kwa kupiga kelele na kuleta vurugu baada ya Hakimu kuingia ndani ya Chumba cha Mahakama.
Hakimu alipoingia Tundu Lissu alileta aliongea mahakamani kwa kuwaambia wafuasi "No Reforms No Election"
Hakimu ameeleza kuwa Mahakama inakuwa kamili pale anapokuwepo Hakimu, hivyo Hakimu anavyoingia Mahakamani akakaa, Mahakama inakuwa imekamilika bila kujali upande wowote upo au haupo, hivyo maneno ambayo yalisemwa na mshitakiwa Tundu Lissu ("No Reforms No Election" )hayakuwa sahihi kwasababu mahakama ilikuwa tayari imekaa. Na hata waliotikia hawakuwa sahihi kwasababu baada ya Mahakama tu kuwa imekaa, anayeongoza mahakama ni Hakimu na hakuna mwingine anayepaswa kuongea isipokuwa Mahakama kwa maana ya Hakimu.