Hakimu atoa onyo kali kwa Lissu na wenzake kutodharau Mahakama pale inapokuwa imeketi

Mahakama imempa onyo Tundu Lissu na wenzake kwa kupiga kelele na kuleta vurugu baada ya Hakimu kuingia ndani ya Chumba cha Mahakama.

Hakimu alipoingia Tundu Lissu alileta aliongea mahakamani kwa kuwaambia wafuasi "No Reforms No Election"

Hakimu ameeleza kuwa Mahakama inakuwa kamili pale anapokuwepo Hakimu, hivyo Hakimu anavyoingia Mahakamani akakaa, Mahakama inakuwa imekamilika bila kujali upande wowote upo au haupo, hivyo maneno ambayo yalisemwa na mshitakiwa Tundu Lissu ("No Reforms No Election" )hayakuwa sahihi kwasababu mahakama ilikuwa tayari imekaa. Na hata waliotikia hawakuwa sahihi kwasababu baada ya Mahakama tu kuwa imekaa, anayeongoza mahakama ni Hakimu na hakuna mwingine anayepaswa kuongea isipokuwa Mahakama kwa maana ya Hakimu.
Kwenye kesi za kisiasa ni jambo la kawaida.
 
Huyu hakimu ana huruma sana ingekuwa mimi hakimu huyo Lisu pamoja na hao waliopiga mayowe wangeniamkia Shikamoo hakimu na shikamoo mahakama mahakama hata kama wamenizidi umri
 
Kapiga pale pale kwenye mshono. 😁
Hii kauli ya NFNE, mkiisikia mnajaa gesi sana. 😁
ni mshangao wa kipekee baada ya kitanzi kutokana na uropokaji, wakili angua MAYOWE mahakamani, dah 🤣

matokeo ya uropokaji ni ya fedheha sana aise
 
Mahakama imempa onyo Tundu Lissu na wenzake kwa kupiga kelele na kuleta vurugu baada ya Hakimu kuingia ndani ya Chumba cha Mahakama.

Hakimu alipoingia Tundu Lissu alileta aliongea mahakamani kwa kuwaambia wafuasi "No Reforms No Election"

Hakimu ameeleza kuwa Mahakama inakuwa kamili pale anapokuwepo Hakimu, hivyo Hakimu anavyoingia Mahakamani akakaa, Mahakama inakuwa imekamilika bila kujali upande wowote upo au haupo, hivyo maneno ambayo yalisemwa na mshitakiwa Tundu Lissu ("No Reforms No Election" )hayakuwa sahihi kwasababu mahakama ilikuwa tayari imekaa. Na hata waliotikia hawakuwa sahihi kwasababu baada ya Mahakama tu kuwa imekaa, anayeongoza mahakama ni Hakimu na hakuna mwingine anayepaswa kuongea isipokuwa Mahakama kwa maana ya Hakimu.
Ndio maana Polisi Ilizuia kusikilizwa Kwa wazi Kwa sababu walijua huyo mhuni anaweza Anza makelele harafu na kenge zake zikaunga treila ila nyie mahakama mkajifanya kujua sana intelijensia eti hakuna shida.

Siku ya kusoma hukumu wataleta fujo
 
heshima kwa Mahakama ni heshima kwa haki.

May this be a moment of reflection, not only for Tundu Lissu and his supporters, but for all who believe in justice and constitutional order.
 
ni mshangao wa kipekee baada ya kitanzi kutokana na uropokaji, wakili angua MAYOWE mahakamani, dah 🤣

matokeo ya uropokaji ni ya fedheha sana aise

Leo siasa imefanyika vyema. Dunia yote ilikuwa mahakamani. Lissu ataendelea kusalimia kwa salamu hiyo, mtake msitake.
 
Lisu uwezo wake unakuzwa tu ni mtu wa kawaida mno mwenye uwezo mdogo mno ila tu ana mdomo usiokuwa na breki lakini kichwani hazimo za kutosha
hapo eti anaowaongoza na wao kwa kukosa maono wanaona kafanya jambo lamaana sana kumbe ulofa tu 🐒
 
Mahakama imempa onyo Tundu Lissu na wenzake kwa kupiga kelele na kuleta vurugu baada ya Hakimu kuingia ndani ya Chumba cha Mahakama.

Hakimu alipoingia Tundu Lissu alileta aliongea mahakamani kwa kuwaambia wafuasi "No Reforms No Election"

Hakimu ameeleza kuwa Mahakama inakuwa kamili pale anapokuwepo Hakimu, hivyo Hakimu anavyoingia Mahakamani akakaa, Mahakama inakuwa imekamilika bila kujali upande wowote upo au haupo, hivyo maneno ambayo yalisemwa na mshitakiwa Tundu Lissu ("No Reforms No Election" )hayakuwa sahihi kwasababu mahakama ilikuwa tayari imekaa. Na hata waliotikia hawakuwa sahihi kwasababu baada ya Mahakama tu kuwa imekaa, anayeongoza mahakama ni Hakimu na hakuna mwingine anayepaswa kuongea isipokuwa Mahakama kwa maana ya Hakimu.
nawaonea huruma walio serious wanamsuport chiba
 
Back
Top Bottom