Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
Upwipwi .baya sanaaahata yeye mwenyewe ShesRise_1 hawezi
watu wote waelewe mapema kwamba kuna baadhi ya mioyo ikikutana, hata dunia ikijaribu kuzitenganisha hushindwa.
Mimi na yeye hatukuunganishwa na bahati, wala maneno matupu ya mapenzi ya kupita. Kuna namna macho yake yalivyoutambua moyo wangu kabla hata majina yetu hayajazoeana.
Yeye si mwanamke wa kawaida kwenye maisha yangu.
Ni utulivu wangu katikati ya vurugu, ni mwanga wangu kwenye siku zenye giza, ni sauti ambayo moyo wangu huisikia hata akiwa kimya.
Na kama ulimwengu ni bahari yenye mawimbi mengi, basi yeye ndiye ufukwe ambao moyo wangu uliamua kupumzika milele.
Hakuna umbali utakaoweza kufuta hisia hizi.
Hakuna maneno ya watu yatakayoweza kuyeyusha kilichojengwa na mioyo miwili iliyochaguana kwasababu mapenzi yetu hayaishi kwenye macho pekee baki huishi ndani kabisa ya nafsi.
Na yeye…
tayari amekuwa sehemu ya pumzi zangu.
Jamani Kuna mrembo mara ya mwisho kumwona jukwaani ilikua Nov 2024, ila every day am thinking about you.
We had chemistry, but you chose to leave un noticed!
Uliuteka moyo wangu bila Mimi kujua,
Nakuwaza every single day..
I need you back in here meghan markle
Hayakuhusu na weka jokes pembeni, pita kushoto if it doesn't concern youFungua uzi wako!
Ili wote moiochanganyikiwa tuwaone usijifiche kwenye comments
Nop siwezi aminiamebadili id
Yes, she's the onendo huyu...
Hi mimi ni dada, natafuta marafiki wa ku chat nao siishi TZ na kuna muda na tu unatamani tu kupata wa nyumbani kuongea nae na ku exchange mawazo na uzoefu.
Any age, and gender karibuni. Sina udini wala siasa! I’m open minded
.
- meghan markle
- marafiki
- Replies: 26
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Pole sana mkuu, naelewa unachopitia.Jamani Kuna mrembo mara ya mwisho kumwona jukwaani ilikua Nov 2024, ila every day am thinking about you.
We had chemistry, but you chose to leave un noticed!
Uliuteka moyo wangu bila Mimi kujua,
Nakuwaza every single day..
I need you back in here meghan markle
Sasa udomo zege na hela vina uhusiano gani?Inakuaje mwanaume huna hela halafu unakua domo zege?
Hayakuhusu na weka jokes pembeni, pita kushoto if it doesn't concern you
ukiwa huna hela inabidi uongee sana sioInakuaje mwanaume huna hela halafu unakua domo zege?
Angalia username yako na yangu halafu niambie nani mshamba!Sasa udomo zege na hela vina uhusiano gani?
Achaga ushamba basi Ephen.
Well and good fuvu ni lako.View attachment 3591656
Kuamua kupita kushoto hama kulia ni uamuzi wangu binafsi hutakiwi kunipangia.
Comment yako hiyo hapo juu app imeniwekea option ya kureply na kureact utasemaje hayanihusu?
😂😂😂Inakuaje mwanaume huna hela halafu unakua domo zege?
Mkuu acha tu. AF hata ukute sio nataka nimpate physically, it's just how she made me feel. Tuliacha kuwasiliana kama week hivi then off she went into nowhere.Pole sana mkuu, naelewa unachopitia.
Mimi nishakubaliana na hali, kwanza mlalahoi sina hili wala lile...
Fasihi ni ukoko na mwandishi ni kijiko kwangua.Aise noma umenikumbusha mbali sana cheki hili swali,
Fasihi ni ukoko kwangua
hichi kitu kinaumiza ni kweli,Mkuu acha tu. AF hata ukute sio nataka nimpate physically, it's just how she made me feel. Tuliacha kuwasiliana kama week hivi then off she went into nowhere.
Utawapata tu muda sahihi ukifika. Ephen kila mtu ana muda wake.Angalia username yako na yangu halafu niambie nani mshamba!
Huna hela halafu domo zege wachumba utawapataje?
Labda kama nilichokiandika kinakuhusu!!!
HahahaFasihi ni ukoko na mwandishi ni kijijo kwangua.