Tetesi: Hakuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki anayehudhuria ufunguzi wa ikulu ya Dodoma siku ya leo. Walimwandikia rais Samia kuhusu hilo

Tetesi: Hakuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki anayehudhuria ufunguzi wa ikulu ya Dodoma siku ya leo. Walimwandikia rais Samia kuhusu hilo

Sio wote wako Roma. Wengi tu wamebaki nyumbani. Haiwezekani hata siku moja maaskofu wao wote wakawa sehemu moja kwa wakti mmoja hata kwenye sherehe zao wenyewe!
Wote wenye majimbo wapo Vatican. Wameenda kutoa hesabu ya hali ya Ukristo kwenye jimbo na kukutana na kiti cha Petro. Huwa kina mang’amuzi mengi kuhusu hali ya Ukristo kwenye nchi mahalia. Naamini hata wale ambao hawana majimbo wamestaafu lakini wana nguvu ya kwenda watakua wameenda kuonana na Petro na Paulo mitume nguzo za uanzishaji wa Ukristo.
 
Maana alikuwepo padri na katoa sala nzuri tu sasa ulitakaje
 
Rais wa nchi ana uwezo wa kumzuia mwananchi yeyote asitoke nje ya nchi na ikawa hivyo.
Yaani amzuie kisa hajaenda kuhudhuria hafla za kiserikali? Anaweza kuzuia lakini akiwa na sababu za msingi mfano mtu anahusishwa na uhalifu ila hao maaskofu wala hawakuwa na haja ya kumtaarifu walitumia uungwana tu wasingekuwa waungwana angeona kwenye mitandao tu.
 
Wanaumuhimu gani?
Kwann WAKRISTO MNATA WAWAKILISHI WENGI?

ANGLIKANA
WALOKOLE
LUTHERAN
SDA
nk?
 
PETRO jiwe msingi wa kanisa duniani

Mathayo 16:23 NEN

Lakini Yesu akageuka na kumwambia Petro, “Rudi nyuma yangu, Shetani! Wewe ni kikwazo kwangu. Moyo wako hauwazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.”
 
Kanisa la Roma, ni la Waroma, Waafrika la kwao ni lipi? Tuseme kanisa la Kampala au Nairobi.
 
Back
Top Bottom