thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Muulize Kikwete wewe choko,usiejitambuaIkulu yenyewe utadhani ni gereza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize Kikwete wewe choko,usiejitambuaIkulu yenyewe utadhani ni gereza
Sijaelewa ,wapo na mabeyo kivipi?
Wote wenye majimbo wapo Vatican. Wameenda kutoa hesabu ya hali ya Ukristo kwenye jimbo na kukutana na kiti cha Petro. Huwa kina mang’amuzi mengi kuhusu hali ya Ukristo kwenye nchi mahalia. Naamini hata wale ambao hawana majimbo wamestaafu lakini wana nguvu ya kwenda watakua wameenda kuonana na Petro na Paulo mitume nguzo za uanzishaji wa Ukristo.Sio wote wako Roma. Wengi tu wamebaki nyumbani. Haiwezekani hata siku moja maaskofu wao wote wakawa sehemu moja kwa wakti mmoja hata kwenye sherehe zao wenyewe!
Hawa hapa wanaendelea na ibada zao huko Roma
KiibadaSijaelewa ,wapo na mabeyo kivipi?
Alikuwepo padre wa TEC na kasoma sala.hakuna hata padri wa kuwakilish? TEC wako wap?
Yaani amzuie kisa hajaenda kuhudhuria hafla za kiserikali? Anaweza kuzuia lakini akiwa na sababu za msingi mfano mtu anahusishwa na uhalifu ila hao maaskofu wala hawakuwa na haja ya kumtaarifu walitumia uungwana tu wasingekuwa waungwana angeona kwenye mitandao tu.Rais wa nchi ana uwezo wa kumzuia mwananchi yeyote asitoke nje ya nchi na ikawa hivyo.
@johnthebaptist Pepsi haiwezi,Umemaliza mkuu. Kunywa pepsi ntakupa mkuu
HuwezI kuelewa, Mambo makubwa kama haya subiría warudiSijaelewa ,wapo na mabeyo kivipi?
PETRO jiwe msingi wa kanisa duniani
Sijawahi kukupuuzaTime will teri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi kale kaaskofu kanakojiita Mwamakula sio kakatoliki kale?