Alibomoa nyumba za kimara kisa wakaazi wake wengi wanatoka ile mikoa ya kaskazi.Wanyonge gani?[emoji19]
Aliwafutia watu ajira zao kwa kigezo cha vyeti feki kibaya zaidi hakuwapa hata mia.
Jua haujui !!? Kalaghabaho!Namaanisha hata Mungu anashuhudia!
Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!
R.I.P JPM.
R.I.P BABA.
Anaitwa Lucy hilo si ni jina la kike?Wewe ni mwanaume ama mwanamke?
Kama ni mwanaume basi matokeo ya sensa kuhusu idadi ya wanaume inabidi wewe upunguzwe upelekwe upande wa pili.
Magufuli alitoa amri wauawe.Magufuli alihusikaje hapa? Kifo chacha wangwe pia Mbowe anahusika? Ili tuvae viatu vya mrs Wangwe.
Eeeh kashakaribishwa tayari, hao wa pembeni ni Malaikaa..
Usinikumbushe. Mzazi wangu kisiasa aliuliwa nikiwa natazama liveEh aisee walivyomburuza kila Kona ya mji wakamvua nguo
Chuma kile kinakubalika chenyewe kama chenyewe... chama geresha tu..Kumbe alikua chadema au ACT?
Wewe hukuwa na nasaba na huyo unayedhani alikuwa ni baba yako. Kaa chini na mama yako akuonyeshe baba yako halisiNamaanisha hata Mungu anashuhudia!
Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!
R.I.P JPM.
R.I.P BABA.
Vile mlivyo wajinga, mbona yeye pia aliminya pumzi za watu na yeye akakufa? So yeye pia alianza kulipia mapema tena katika umri mdogo zaidi kuliko huyu?Wameanza mmoja mmoja kulipia...
Wanatafuta kujifariji tu. Ndiyo hawahawa walikua wanashangilia maradhi ya Lowasa matokeo yake yakawakuta yaliyo wakuta kwa mtu wao kupigwa leo wanakuja kujifarajia kwenye kifo cha MembeSukuma Gang Bana sasa Membe anahusikaje na kifo cha jiwe, Membe ni kati ya watu ambao walishapoteza mvuto kwenye siasa za nchi hizi.
Zilianza kama tetesi siku nne kabla nilikataa kwa nguvu zote, alikuwa na makando kando yake sikatai, lakini kwa mara ya kwanza nilihisi kupata mshtuko, nilihisi joto, kizunguzungu na mwili kuishiwa nguvu, kutetemeka, Mzee wangu aligundua hilo akaniwahi kunishika.... Acha maisha yaendelee na aendelee kupumzika mahali pema peponi amina
Heshimu kazi ya mama yako dogoMalaya wewe
Yule Mungu alijua mateso yetu hakutaka kuona tunakwenda kuteseka tena kwasababu ya hayawani mmoja tu.Kitendo cha magufuli kutaka kumuua tundu lisu kumuua Ben rabiu saanane kumpoteza azory gwanda kuiba uchaguzi wa 2020 na 2019 kutaka kutesa na kuuwa watu kunafanya numuone magufuli katika sura ya shetani halisi mbwa yule ! Imagine uchaguzi wa serikali za mitaa eti wenyeviti 200000 laki mbili wa chadema walikuwa hawajui kusoma na kuandika lakini wa ccm 200000 walikuwa wanajua kusoma na kuandika.
Chuma kimelala 6 feets under the ground, chama bado kipo kinaendeleaChuma kile kinakubalika chenyewe kama chenyewe... chama geresha tu..
Namaanisha hata Mungu anashuhudia!
Niwe wazi, hata kifo cha baba yangu sikuumia moyo kwa kiwango kama ilivyokuwa kwa Hayati Magufuli!
R.I.P JPM.
R.I.P BABA.
Mental illness is real.