Hakuna kitu cha maana Paul Makonda anafanya Arusha isipokuwa blaa blaa na vituko

Huo ujinga wote umekuwa na impact gani? tunataka impact, siyo publicity
 
Iko hivyo mkuu.
 
DAB ni tapeli gwiji. nyondi sana huyu jamaa
 
wewe hukuelewa. aliposema yanatengenezea ni vile yake magari ya utalii arusha ndio hospital yao.pale landrover inapigwa modifications ndio zinapelekwwa nch za nje kwanhata kenya si nchi ya nje au mpaka uone marekan. pale kuna garages za singa singa wataalam sana wa kuyaunda magar ya utalii
 
Ukitazama anachokifanya Makonda kwa akili za kwenye vijiwe vya kahawa utaona kuwa anafanya vituko huko Arusha lakini ukitazama kwa mtazamo wa kisayansi utaelewa kwanini kapelekwa huko.

Arusha na Kilimanjaro ni ngome ya upinzani, kapelekwa Makonda kwa lengo la kuanzisha siasa za kistaarabu hivyo kura zinapatikana kwa uongozi wa mkoa wenye kuhusisha ustaarabu kwanza.

Kuna masuala ya kishenzi sana aliyafanya RIP Magufuli huko kaskazini haswa kwa kuhusika na kile kifo cha Mzee mwanasiasa mkongwe wa CHADEMA aliyefariki ghafla kwa mshtuko wa moyo, chuki ikawa kubwa sana.

Makonda analeta siasa za upatanisho kati ya pande mbili zenye ugomvi wa muda mrefu. Samia kwa kuleta siasa za amani huko Arusha anajenga mapatano ambayo hayakuwepo wakati wa mtangulizi wake.
 
NABII ANAYETABIRIA WATU KUFA TU LEMMA HANA CHOCHOTE ANACHOWEZA KUWASAIDIA WANACHI NA KUWATUKANA BODABODA NA MAMA LISHE makonda ANACHJAPA KAZI
Lema anadhani anaongea ukweli lakini kwa kushindwa kuja na suluhisho anaonekana anapiga stori za maskani.

Makonda kwa kusogea karibu na wananchi anafanya siasa za uwakilishi wenye tija. Lema atazeekea kwenye kutoa maoni huko X na mitandao mingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…