Hakuna kitu cha maana Paul Makonda anafanya Arusha isipokuwa blaa blaa na vituko

Hakuna kitu cha maana Paul Makonda anafanya Arusha isipokuwa blaa blaa na vituko

Mmeshindwa kumchamfua akiwa Dar na Sasa yupo Arusha.

1-Zoezi la upimaji afya
2-Zoezi la Pikipiki
3-Zoezi la Nyama choma
4-Zoezi la landrover festival.
5-Zoezi la kero za wananchi.

Miaka yote hiyo Lema alikuwa wapi kutambua fursa kama hizo Arusha?Amebaki kujidai ni muhubiri feki.
Huo ujinga wote umekuwa na impact gani? tunataka impact, siyo publicity
 
Ila kuwa mtawala (sio kiongozi) wa Tanzania ni raha sana. Wape nyama tu, utasifiwa na kupigiwa makofi mpaka yesu arudi.

Yani mtu mzima na akili zake timamu anasifia nyama choma na maonyesho ya magari kuwa kama kipimo cha uongozi bora😂😂😂😂😂😂
Iko hivyo mkuu.
 
Tanzania ifike wakati sasa tutenganishe viongozi makini na wapiga debe wa vyama. Tunagharimika sana Tanzania kwa kuwapa watu nafasi za uongozi kwa sababu ya umaarufu wao wa kupiga debe.

Paul Makonda ni mmoja wa wale waliopewa uongozi kwa sababu tu ya blaa blaa zake lakini ki utendaji hana lolote isipokuwa kufanya vioja vitupu.

Ni jana tu bila aibu yoyote Paul Makonda mbele ya umati wa watu makini anathubutu kusema kuwa mji wa Arusha unatengeneza magari aina ya Landrover na kuyauza nchi za Ulaya! Hizi ni blaa blaa zilizopindukia.
DAB ni tapeli gwiji. nyondi sana huyu jamaa
 
DAB ni tapeli gwiji. nyondi sana huyu jamaa
Huyu hapa na tako lake:-

Screenshot_20241118_204739_WhatsApp.jpg
 
wewe hukuelewa. aliposema yanatengenezea ni vile yake magari ya utalii arusha ndio hospital yao.pale landrover inapigwa modifications ndio zinapelekwwa nch za nje kwanhata kenya si nchi ya nje au mpaka uone marekan. pale kuna garages za singa singa wataalam sana wa kuyaunda magar ya utalii
 
Tanzania ifike wakati sasa tutenganishe viongozi makini na wapiga debe wa vyama. Tunagharimika sana Tanzania kwa kuwapa watu nafasi za uongozi kwa sababu ya umaarufu wao wa kupiga debe.

Paul Makonda ni mmoja wa wale waliopewa uongozi kwa sababu tu ya blaa blaa zake lakini ki utendaji hana lolote isipokuwa kufanya vioja vitupu.

Ni jana tu bila aibu yoyote Paul Makonda mbele ya umati wa watu makini anathubutu kusema kuwa mji wa Arusha unatengeneza magari aina ya Landrover na kuyauza nchi za Ulaya! Hizi ni blaa blaa zilizopindukia.
Ukitazama anachokifanya Makonda kwa akili za kwenye vijiwe vya kahawa utaona kuwa anafanya vituko huko Arusha lakini ukitazama kwa mtazamo wa kisayansi utaelewa kwanini kapelekwa huko.

Arusha na Kilimanjaro ni ngome ya upinzani, kapelekwa Makonda kwa lengo la kuanzisha siasa za kistaarabu hivyo kura zinapatikana kwa uongozi wa mkoa wenye kuhusisha ustaarabu kwanza.

Kuna masuala ya kishenzi sana aliyafanya RIP Magufuli huko kaskazini haswa kwa kuhusika na kile kifo cha Mzee mwanasiasa mkongwe wa CHADEMA aliyefariki ghafla kwa mshtuko wa moyo, chuki ikawa kubwa sana.

Makonda analeta siasa za upatanisho kati ya pande mbili zenye ugomvi wa muda mrefu. Samia kwa kuleta siasa za amani huko Arusha anajenga mapatano ambayo hayakuwepo wakati wa mtangulizi wake.
 
NABII ANAYETABIRIA WATU KUFA TU LEMMA HANA CHOCHOTE ANACHOWEZA KUWASAIDIA WANACHI NA KUWATUKANA BODABODA NA MAMA LISHE makonda ANACHJAPA KAZI
Lema anadhani anaongea ukweli lakini kwa kushindwa kuja na suluhisho anaonekana anapiga stori za maskani.

Makonda kwa kusogea karibu na wananchi anafanya siasa za uwakilishi wenye tija. Lema atazeekea kwenye kutoa maoni huko X na mitandao mingine.
 
Back
Top Bottom