UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 18,243
- 9,657
Kama The Jackson Family.Toa mfano.
Kama The Jackson Family.Toa mfano.
Practice practice practice in smart way then utaona matokeo chanya.Kama The Jackson Family.
Hakuna anayekataa kuhusu practice na ndio maana vipaji hukuzwa na kuendelezwa. Kuwa na kipaji haina maana huhitaji kufanyia mazoezi au kufanya juhudi.Practice practice practice in smart way then utaona matokeo chanya.
Hakuna anayekataa practice lakini mimi nakataa kipaji.Hakuna anayekataa kuhusu practice na ndio maana vipaji hukuzwa na kuendelezwa. Kuwa na kipaji haina maana huhitaji kufanyia mazoezi au kufanya juhudi.
And full of dipressions🤣🤣Nice but harsh 😂
As usually😂And full of dipressions🤣🤣
Unajua kuimba wewe 😃Hapana hapana hapana!!
Nikijifunza nitajua.Unajua kuimba wewe 😃
Kama huna kipaji hata ukeshe kujifunza hujui 😃Nikijifunza nitajua.
Kipaji chenyewe hakipo.Kama huna kipaji hata ukeshe kujifunza hujui 😃
Kipawa basiKipaji chenyewe hakipo.
Kuna inborn talent ambayo unaweza kuwa nayo mwingine asiwe nayo. Kuna kitu unaweza kujaribu kila siku na usoweze, usifanikiwe, ila mwenzako akiamka asubuhi tu anafanya tena bila kutumia nguvu.Umechelewa kujua Mkuu, binafsi naamini katika kujaribu/ kufanya mara nyingi hence unakua expert
Define no kipawa kwanza ndipo tuendelee.Kipawa basi
Ukipenda kitu hasa tangu utatoni then ukapractice kwa kutumia akili unatisha balaa.Kuna inborn talent ambayo unaweza kuwa nayo mwingine asiwe nayo. Kuna kitu unaweza kujaribu kila siku na usoweze, usifanikiwe, ila mwenzako akiamka asubuhi tu anafanya tena bila kutumia nguvu.
Binadamu tuna karama tofauti, talent tofauti. Huwezi kuwa nazo zote, na ili ujue wapi unafit lazima ufanye. Ila sio kila utakachofanya utaweza coz hujaumbwa kuweza kila kitu.
TalentDefine no kipawa kwanza ndipo tuendelee.
Hicho kitu hakipo. It's an optical illusion.Talent
Nadharia ya kipaji imekuwepo duniani zaidi ya miaka elfu 10 iliopita, kwahiyo kuna vizazi vingi Tu vimepita na hiyo concept viliikubali.Habari ya muda Great Thinkers!!
Wakuu nimegundua kuwa hakuna kitu kinachoitwa kipaji (talent) katika Dunia hii.
Wazungu hupenda kutumia dhana au neno kipaji wakimaanisha mtu kuzaliwa akiwa tayari ana uwezo wa kufanya kitu fulani kwa mfano kucheza mpira, kuimba, kukimbia. Wamefanya na wanafanya hivi ili tujikatie tamaa ya kufanya mambo makubwa kama gunduzi za kisayansi na mengine mengi.
Binafsi nilishawahi kujaribu kukatishwa tamaa na jamaa mmoja, hii ni mara baada ya kuona mimi najaribu kuchora. Jamaa aliniambia wewe wala usihangaike maana huna kipaji cha kuchora,maneno haya yalininipa hasira ya kupambana zaidai ndiyo maana leo hii mimi ni miongoni mwa wachoraji wakubwa hapa Tanzania (hii ni mara baada ya kugundua kuwa hukuna kipaji duniani)
Hakuna mtu aliyezaliwa akiwa tayari na uwezo wa kufanya jambo fulani (kipaji), watu wote wanazaliwa sawa lakini namna ya kufikiria ndiyo humfanya moja afanye jambo fulani kwa urahisi kuliko mwingine.
Hebu jiulize haya maswali na uyatafakari kwa kina.
-Je, kama mpira wa miguu usingegunduliwa Messi angekuwa na kipaji cha nini?
-Kusingekuwa na mchezo wa riadha Usain Bolt angekuwa na kipaji gani.
-Je, Kuna kipaji cha kujamiiana?
-Kuna kipaji cha kula?
-Kuna kipaji cha kunywa pombe?
-kwa nini walokole wana uwezo wa kukariri mistari ya bibilia na kuichambua lakini wanashindwa kukariri quotations kutoka kwenye vitabu vya fasihi wakati yote ni maandishi?
Cc Monetary doctor Poor Brain uzuri_hatujuani.
Bye bye 👋.
Siku zote hata mnapofanya jambo lolote matokeo (performance) hayawezi kufanana. Kwani darasani kwenu wewe Kila siku ulikuwa unashika nafasi ya mwisho? Kama ulikuwa unapanda na kushuka kwa nini?Nadharia ya kipaji imekuwepo duniani zaidi ya miaka elfu 10 iliopita, kwahiyo kuna vizazi vingi Tu vimepita na hiyo concept viliikubali.
Kama Tu from nowhere unaanza kubishia uwepo wa nadharia kongwe Kama hiyo, tena ya wazungu basi ujue wewe kipaji chako ni ubishi. Na ilikuchukua miaka mingi kujifunza kuchora Kwa sababu hukuwa na kipaji hicho.
Mwenye kipaji anafanya Jambo linaloonekana gumu na wengine Kwa urahisi na ustadi mkubwa.
Najua utanibishia Kwa sababu hicho ndio kipaji chako.
Thank me for opening your eyes into the talent that God had bestowed in you!!
Unaweza kuta watu wawili wote wanapenda kuwa wanasayansi na mmoja hata akijitahidi Vipi anafeli masomo ya sayansi ila masomo mengine anafanya vizuri wakati huohuo mwingine hakunjui msuli kivilee na bado anafaulu masomo ya sayansi na masomo mengine ufaulu wake ni mdogo.Siku zote hata mnapofanya jambo lolote matokeo (performance) hayawezi kufanana. Kwani darasani kwenu wewe Kila siku ulikuwa unashika nafasi ya mwisho? Kama ulikuwa unapanda na kushuka kwa nini?
Kungekuwa na kipaji basi mtu fulani angekuwa anamaintain position fulani kwa wakati wote pale anapokutana na wasio na kipaji.
Messi ambaye watu wanadai kuwa na kipaji alishakosa penalties dhidi ya magolikipa ambao ambao mnadai kuwa hawana kipaji kama chake.
#hakuna mtu anayezaliwa akiwa na uwezo wa kifunya jambo fulani hapa duniani
Unaweza ukapenda kitu lakini approach unayotumia kuiendea kitu/jambo husika inaweza kukuangusha.Unaweza kuta watu wawili wote wanapenda kuwa wanasayansi na mmoja hata akijitahidi Vipi anafeli masomo ya sayansi ila masomo mengine anafanya vizuri wakati huohuo mwingine hakunjui msuli kivilee na bado anafaulu masomo ya sayansi na masomo mengine ufaulu wake ni mdogo.
Utasema nini kinamwezesha huyu asietia jitahada lakini bado anafaulu na Yule anaetoa jitihada na bado zinadunda?