Hakuna kitu kinachoitwa kipaji (kuzaliwa na uwezo wa kufanya kitu fulani)

Kwa nini wenye vipaji hapa Tanzania ukiwalinganisha na wenye vipaji Spain was Spain wanakuwa mbele.

Au wakati mwingine mnayemwita hana kipaji kule Spain anamzidi mnayemwita ana kipaji hapa Tanzania.

Shida ni nini hasa.
Ukienda kijijini kwenu kwenye ligi ya kugombea mbuzi watu wanacheza peku uwanja una visiki na mbigili mpira wa makaratasi bado utawakuta wenye vipaji...... Na ukimpeleka Yamin akacheze huko ATACHEMKA
Na ukimchukua mwenye kipaji kijijini kwenu akacheze Spain La liga ATACHEMKA

Unadhani ni kwanini?
 
KIPAJI NI UWEZO WA KUFANYA ZIADA HATA KUFIKIA KUOKOA MUDA KULIKO WANAOFANYA TU.

KWAHIYO WEWE NDIYE UNAYEAMUA JUWA NA UWEZO UO NA SI VINGINEVYO.


KIFUPI NI KWAMBA KILA MTU UJIFUNZA NA KADRINUNAVYO CONCETRATE KUJIFU JAMBO UNALIFANYA VYEMA ZAIDI KWA HIYO ULE UVUMILIVU WA KUTAKA JUJIFUNZA ZAIDI NA KUFANYA ZIAD A NDIO KIPAJI.


NA SIO KITU KINGINE KUCHEZA MPIRA, KUCHORA , KUIBA , KUSEX N.K KILA MTU ANAWEZA KUFANYA HAYO AKIJIFUNZA LAKINI HAWEZI KUFANYA ZIADA IKIWA HATAKI AU HANA UVUMILIVU KATIKA KUTAFUTA ZAID MAARIFA.
 
Atachemka kwa sababu hakuna kipaji.
Mtu angezaliwa na uwezo wa kufanya kitu fulani angekifanya sehemu yoyote ile.
 
Yeah, hapo tumekubaliana kuwa kipaji siyo uwezo wa kuzaliwa nao bali unaimprove baada ya kuzaliwa.
 
Yeah, hapo tumekubaliana kuwa kipaji siyo uwezo wa kuzaliwa nao bali unaimprove baada ya kuzaliwa.
Sio una improve baada ya kuzaliwa.

Sema Kile utakachojifunza baada ya kujifunza na kuanza kukifanya unajifanya kwa maarifa zaidi ya wengine. KIFUPI unazaliwa na uchi wako tu.
 
Sio una improve baada ya kuzaliwa.

Sema Kile utakachojifunza baada ya kujifunza na kuanza kukifanya unajifanya kwa maarifa zaidi ya wengine. KIFUPI unazaliwa na uchi wako tu.
We unanifurahisha sana 😅.
 
Atachemka kwa sababu hakuna kipaji.
Mtu angezaliwa na uwezo wa kufanya kitu fulani angekifanya sehemu yoyote ile.
Kuna jamaa Ali comment kwamba inawezekana una KIPAJI cha UBISHI
Kama naanza kumuelewi hivi 😂😂😂😂
 
Kuna jamaa Ali comment kwamba inawezekana una KIPAJI cha UBISHI
Kama naanza kumuelewi hivi 😂😂😂😂
Mkuu nikipata muda mzuri nitatiririsha maelezo ya kueleweka hadi utakubali mwenyewe 😃😃
 
Nakujibu kwamba wachezaji wa Barcelona wamewazidi wachezaji wetu hapa bongo.

Kwahiyo unataka kusemaje?
 
Kwa hiyo kumbe kuana mtu mwenye kipaji kidogo na mwenye kipaji kikubwa!

Unataka kusema mtu mwingine kazaliwa na kipaji halafu mwingine kazaliwa na nusu kipaji?

Bora ungesema mtu akizaliwa na kipaji automatic uwezo wake uankuwa mkubwa tu.
Unataka mtu mwenye kipaji sharti awe na uwezo mkubwa tu pasina kujifunza chochote wala juhudi kwa maana unatafsiri kipaji ni kinyume cha kujifunza na juhudi, ila hapo hapo unakubali kwamba watu huweza kutofautiana ufanyaji wa jambo hata kama watu hao wakifanya kitu hicho wakiwa katika mazingira sawa na kujifunza kila kitu sawa kabisa na wote wana juhudi.
 
Nakujibu kwamba wachezaji wa Barcelona wamewazidi wachezaji wetu hapa bongo.

Kwahiyo unataka kusemaje?
Wachezaji wetu (wa bongo) hawana vipaji?
Wachezaji wote wa Barcelona wana vipaji?

Twende kazi 😎.
 
Mi naamini kama mtu angezaliwa na uwezo (kipaji) basi awe na uwezo sawa na watu wengine waliozaliwa na uwezo kama huo. Tofauti na hapo hatuwezi kuthibitisha kuwa mtu anazaliwa na uwezo fulani.

Kwa nini Messi kawazidi wachazinwenzake amabao alikuwa nao katika mazingira yanaofanana (sehemu mmoja). Je, Messi ndo mchezaji pekee mwenye kipaji?
 
Kuna jamaa yupo YouTube anakula kilo 7 za chakula halafu mwili mwembambaa mkavu kabisa😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…