Hakuna kitu kinaleta Stress kama kuota Mvi au upara halafu bado hujajipata

Hakuna kitu kinaleta Stress kama kuota Mvi au upara halafu bado hujajipata

Acha tu, sema kitu kizuri nafurah huyo dada alikuja kumalizia shule na sasa anakazi yake nzuri tu ,kizuri zaidi kapata bwana kamuoa kwa hyo sina lawama😊😊
Matumizi ya mtoto unahudumia au ndo umemuachia mume mwenzio?!!
Halafu ukitokea uzi wa single maza ww mstari wa mbele kuponda.!! 😂😂😂
 
Ni kweli na ndipo hapo wale waliopata familia mapema na watoto uzeeni hawajutii ukilinganisha na waliochelewa.

Tafuta Watu hapa Bongo waliochelewa Kupata watoto na Wana umri mkubwa watakuambia nini wanapitia.
Mimi nimechelewa kupata mtoto na nina umri mkubwa. Sioni cha ajabu, niko poa and to say im content is understatement, sijui nini hicho unasema tunapitia.
 
Matumizi ya mtoto unahudumia au ndo umemuachia mume mwenzio?!!
Halafu ukitokea uzi wa single maza ww mstari wa mbele kuponda.!! 😂😂😂
Sijawahi kuwaponda single mother na wala sitakaa nifanye hivyo , mtoto yupo shule kidato cha pili likizo kwa bibi yake , toka binti akiwa mjamzito wazazi wangu walimtunza kwa kila kitu , kwa sababu na mm nilikua katoto😁 mpka akarudi shule.
 
Back
Top Bottom