Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Usijali, nitakuingiza forbesI assure you Buddha, naishi kiutofauti mnoo.
👉USI shangae hiyo 35 una niona 30 under 30 Forbes🤒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali, nitakuingiza forbesI assure you Buddha, naishi kiutofauti mnoo.
👉USI shangae hiyo 35 una niona 30 under 30 Forbes🤒
achana nao hata nywele zako hazijanyonyoka kama mbwa kokoEt nywel zimenyonyoka kama mbwakoo, Amehlo nitakutazamaje mimi tena boss wangu na ninadhalilishwa hivi !!.
Ujue vijana msio na uzoefu wa maisha (mnayajua maisha kwa kuandika andika tu) mnafikiri kuna tofaut kubwa sana kati ya 25's -35's.
The difference is sooo minor.. tulia uone sasa. The gap too short..leo uko 25's ndio wengine mmetola toka chuo, ghafla tu unajikuta 35.. unajikita seriously umeanza kupambana at 30, boooom!! 35 hii hapa. Usicheke cheke hapa dogo Intelligent businessman ..
I second youJifunzeni Kwa wakurya, miaka 18 u meshaoa, una watoto wawili ndipo unaendelea na utafutaji.
Maisha ni Kupambana, muhimu Uzima,
Hakuna stress kubwa kama Binti wa 12 yrs kujazwa mimba.
Mwanaume hapati mimba!!
Hivyo Kwa sie wanaume hakuna kitu inaitwa stress, tupambane.
Kwema Wakuu!
Ni Stress hapa!
Ni sonona hapa! Kihoro kinakaba kama pumu huku. Yaani hapa mambo sio mambo.
Kuna Watu wanakuambia umri ni number tuu lakini huko ni kufarijiana tuu!
Hakuna kitu kinauma na kuleta mfadhaiko na mtagusano kulinafsi kama kuona jua lile linazama halafu wewe mambo bilabila.
Nywele kunyonyoka kama mbwakoko mzee. Alafu ukicheki huna mbele wala nyuma sio Pouwa Washikaji.
Mvi kukuota wakati unaishi chumba kimoja sio lelemama ndugu zangu.
Fikiria mvi hizi hapa alafu huna hata mke wala mtoto. Kiumri ni miaka labda 35 hivi. Shida ni kuwa mpaka muda moja na mbili haikai.
Kila ukikumbuka ile kauli ya kusema nikiwa mkubwa nitafanya bla! Blah! Blah! Unapiga ngumi ukutani.
Nani akutake na mvi zako Budah! Yaani huna pesa alafu umejaza mvi kichwani. Ni binti gani yupo tayari kukubali kuwa nawe?
Binti gani atakubali kuwa na wewe na kipara chako na hauna Maisha.
wanasema vijana ndio huona maono bwashee! Wazee wenye mvi na vipara huota ndoto tuu. Yaani kila unaloliwaza kuna asilimia 70 kuwa ni ndoto uotayo ya alinacha.
Kipara sio shida. Shida ni pale huna mbele wala nyuma. Nyie ni mateso bila chuki. Hujui tawi gani ushike.
Yaani Upara na mvi vinakukuta ni Jobless mamaaaa! Hujui ufanye nini unafikiri Daah!
Unakipara chako kinamea polepole, au unamvi zako alafu huna pesa mbona lazima uwe introvert tuu. Yaani ndio ile unajikita mkimya maana nini sasa utaongea. Na hawa vijana wa 2000 hawana salia mtume, hawajui la muhazini wala mnadi Swala. Watakuona Babu yao ilhali hata miaka 40 huijui.
Utani utani wa kijinga na maneno ya kukutania vitazidi kushamiri.
Automatically kijiweni utaanza kupotea na utakuwa mtu wa kuwa bize for nothing.
Usiombe hiyo hali ikukute mazee! Kwanza hata ukienda vibaruani lazima uzinguliwe na matajiri kwa sababu wanajua huna chaguo, alafu mbaya zaidi lazima wakuzungushe kwenye malipo. Alafu ukijaribu kuwa mshari wanakuambia hayo mambo waachiw vijana ilhali wewe mwenyewe ndio kwanza upo miaka 35. Kudadadeki! Innalilah wainalilah Rajuun!
Chochote ukitaka kukifanya ukiwa kipara au mvi tena kwa mtaji mdogo lazima kikutie unyonge, Watu watakuwa wanakuona kama Budah fulani hivi.
Napendekeza, ukiwa below miaka 30 na umetoka familia maskini, kisha bado hauna ramani kivile.
Miaka 20- 30 ndio umri wako wa kujaribu kufanya kazi zózote na kujiweka sawa. Ndio umri wa kutafuta Pisikali moja uzae nayo yaani uanzishe familia ukiwa bado unamuonekano mzuri.
Usibeti kuwa ngoja utafute pesa Kwanza, huko ni kubet Ndugu yangu. Unaweza ukapata pesa au usipate. Lakini kwa umri wa miaka 20-30 huwezi kukosa Mwanamke mzuri wa kuanza naye familia akuzalie watoto angalà u mmoja au wawili.
Ili hata mambo yakibuma na mkeo akakuzingua uwe unafaida ya mtoto au watoto.
Lakini umechelewa kuanzisha familia kwa kubet kuwa unatafuta pesa Kwanza. Alafu umri umesogea, kipara na mvi zile alafu pesa hujapata. Ndugu yangu umekwisha!
This is Africa. Kanuni za huku ni za kipekee. Fanya kile ambacho unauhakika nacho kwa sasa na sio kubet kuwa unatafuta pesa kwanza kama vile uko Ulaya.
Elewa, huku Afrika unaweza ukawa na Juhudi, bidii na akili lakini bado maisha yakakupasua tuu. Lakini kwa Ulaya hilo haliwezekani.
Usijidanganye hapo na vishughuli vyako vya kujitafutia ambavyo vinakuingizia mia mbili mia tatu na kujipa moyo kuwa mambo yakikaa vizuri ndio utaanzisha familia. My friend, unajidanganya. Kwa Afrika labda uwe umeajiriwa tena serikalini ndio unaweza kufikiri kwa namna hiyo.
Biashara inabadilika muda wowote. Ni bora ibadilike ulishapata watoto tena na mke mzuri ambaye hata mkiachana haitalalia upande wako.
Uzee unatÃsha wazee! Uzee ambao haujajipata sio pouwa ndugu zanguni. Wanaosema Fainali uzeeni wanajua wanasema nini ndugu zanguni.
Tuombe Mungu atupe akili ya kutumia baraka zake lakini pia atupe uwezo wa kufanya mambo kwa wakati ili tusijetaabika.
Mwenye mvi nimemaliza.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Wake wawiliMkuu unanigusa,kipara kimeanza kuniota mwishoni mwa mwaka jana na umri (nina 30 to 40 yrs of old) umesonga,hata gari sina nimeishia kuwa na familia ya wake wawili na mji mmoja,kibaruani kazi tembo mshahara sungura,naishia kujishangaa tu.
🤣🤣🤣🤣😩kuna sehemu nimekuta jamaa ana 55 anadai anajitolea, sijamuelewa kabisa, ni nurse
Daaahh!!! Unaona sasa mashangazi mlivyo wajuvi wa mambo? Yan hapa unatoa pesa wala hufikirr mara mbili mbilachana nao hata nywele zako hazijanyonyoka kama mbwa koko
kwanza ndo zinavutia
Kwenye maisha watu wanapenda ku rationalize sasa sijui inawasaidia kupata relief ya muda ilihali mambo yao yapo pale pale.hayo hata ukiyajua ungali ulishajitarajisha makubwa unakuta hayasaidii kupunguza maumivu mana unakua km unajifariji (sizitaki mbichi hizi)
niwekee na ya kutolea babaDaaahh!!! Unaona sasa mashangazi mlivyo wajuvi wa mambo? Yan hapa unatoa pesa wala hufikirr mara mbili mbil
kwann una wake wawil wakat huna maisha? ww ni tatizoMkuu unanigusa,kipara kimeanza kuniota mwishoni mwa mwaka jana na umri (nina 30 to 40 yrs of old) umesonga,hata gari sina nimeishia kuwa na familia ya wake wawili na mji mmoja,kibaruani kazi tembo mshahara sungura,naishia kujishangaa tu.
nilipokua home arusha walikua wanakuja sanawakuria wakenya ni wazuri
wengi ninaowaona mimi hawana ule weusi wa wadada wengi wakenya wanao, ni wazuri sura zao zinataka kwenda kama kwenye u Ethiopia au rwanda japo wanyarwanda chocolate yao imezidinilipokua home arusha walikua wanakuja sana
.hata mm huwa najiuliza hivyo. ni wazuri sana wakurya wa kenya tofaut na wa huku
🤣🤣🤣🤣 Kapaka lami?Role model wangu kwenye kupambana na mvi na kipara.Sijali.View attachment 2889451
Ndio shughuli zetu hizo.😀😀😀🤣🤣🤣🤣 Kapaka lami?
Ahahah..kwakwel njoo.niwekee na ya kutolea baba
au basi nakuja mwenyewe kushika udevu huo
Umeongea ukweli kabisa, kibongo bongo hiyo age ndo nitolee hapo ni kusubiri kujiuguza visukari na presha zisizoishaTatizo la wasomi wengi mnadhani Uzunguni ni huku Afrika.
Alafu mnavunja kanuni ya kila jambo lina wakati wake.
Kiafrika ukifikisha miaka 45 na bado hauna muelekeo hiyo ndio imeisha kwa waliowengi. Hizo Exceptional cases za wanaotoboa uzeeni usipende kuziendekeza. Hao ni éxceptional ni wateule
Mungu awaonekanie 🤣🤣🤣Ndio shughuli zetu hizo.😀😀😀