Hakuna kitu kinaniuma Kama ndugu zangu wote kuzalia nyumbani

Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu.

Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.

Yaani mwanume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)

Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno.

Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.

Ushauri : tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo . Hasa hawa wanawakel wa zama hizi ambao hawajausoma huu mchezo vizuri.
Daah +++ single maza daily tu
 
Tupe idadi yao waliozalishwa wakiwa nyumbani ili tujue wanaongezeka ma-single mother wangapi ndani ya nchi yetu pendwa kabisa TANZANIA.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Daah ilifika mahala nikawa najipigia maombi nipunguze sasa mbaya zaidi wale nilikua nikiwapga threesome ndo wanantafuta wenyewe turudie tena
Wanapenda haooo...nawashangaa wanawake ambao hawataki kushare de libolo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jamani daah kwa hiyoo tutakulaa na kusepaa akipata mimba ni juu yake.. Tunakataaa ndoa
Tatz hayatumii akili, linajiona lipo ktk Danger days alafu ananiletea Mbususu.. Huku akilini anajua kbs anaweza nasa mimba.
 
Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu.

Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.

Yaani mwanume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)

Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno.

Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.

Ushauri : tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo . Hasa hawa wanawakel wa zama hizi ambao hawajausoma huu mchezo vizuri.
Cha kufanya hapo,tafuta namba za simu za shemeji zako wote halafu kirafiki Tu waulize mmoja mmoja kwamba "Kaka kwa nini hujamuoa dada yangu?" tena waombe wafunguke Ukweli wao wa dhati kabisa. Naamini kuna picha utaipata.
 
Wenzake wakikataaa ndoaa Ila wakila utamu wa dada zake analiaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila Mwanaume unakomaa.kabisaa kataa ndoa alafu Kesho baba ako akimuacha mama ako unalalamika sasa HAYO SI MATATIZO YA AKILI.. unapiga kampeni kataa ndoa kesho dada ako akigongwaa akazalia nyumbani unaanza kulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hapana watu wamefanya unachotakaa KATAA NDOA so apambane kulee wajombaaa.
Jf Raha sana[emoji1787]
 
Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu.

Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.

Yaani mwanume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)

Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno.

Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.

Ushauri : tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo . Hasa hawa wanawakel wa zama hizi ambao hawajausoma huu mchezo vizuri.
Kwani ile kampeni yetu ya kataa ndoa ulitaka mlengwa awe nani?

Cc; Liverpool VPN kuna RAIA wako huku haeleweki.
 
""Ushauri : tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo . Hasa hawa wanawakel wa zama hizi ambao hawajausoma huu mchezo vizuri.""

#YNWA
 
Back
Top Bottom