Hakuna kitu kinaniuma Kama ndugu zangu wote kuzalia nyumbani

Hakuna kitu kinaniuma Kama ndugu zangu wote kuzalia nyumbani

Hayo ndo malipo ya hapa hapa duniani [emoji23][emoji23][emoji23]

Mtoa mada anayaonja maumivu mapema kabisa ..
Yani Dada kuzalia nyumbani zaidi ya mmoja ukute na uwezo pia ni mdogoo nyiee Unaweza kuwa mwanaume ila Ukachukia sana wanaume wenzako lakini Msimamo wetu ni ule ule Kataa ndoa[emoji1787][emoji1787]
 
Ndoa kwa mwanamke ina pambaniwa sio kuipata pata kirahisi, fundisha dada zako jinsi ya kuwalagai wanaume wawaingize kwenye ndoa kwa kutumia akili na mbinu, kuna wanawake wengine mpaka wana roga kuipata hiyo ndoa, wengine wana inunua, wengine wana gharamikia mchakato mzima, hapa Africa huwezi kupata ndoa on a slaverplate........we always marry accidentally.
Aiseee
 
wewe si ndio timu kataa ndoa safi kabisa,dada zako wamekutana na wapuuzi kama wewe. Endelea kuwatuma sigara wapwa zako ,wa kike wakikuakua usiwaache wakawa single mothers huko nje shughulikia mwenyewe ukoo usiende mbali kama unavyowashauri jamaa zako humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wewe si ndio timu kataa ndoa safi kabisa,dada zako wamekutana na wapuuzi kama wewe. Endelea kuwatuma sigara wapwa zako ,wa kike wakikuakua usiwaache wakawa single mothers huko nje shughulikia mwenyewe ukoo usiende mbali kama unavyowashauri jamaa zako humu
Ndio ujuwe humu kuna vijana wakikwambia pita kushoto basi wewe nenda kulia wote utawakuta wapo huko.
 
Aliyetoa hela bandia nae kauziwa chrni ya bandia 🤣🤣🤣
Wakati hawajapata mimba si walikuwa wanaona raha kuchuna? Kuna mmoja nipo nae kila nikienda kula tunda naagizwa niende na makorokoro mengi yani hadi dawa ya meno hawawezi kujinunulia... Mahusiano yana mwezi tu na kupika kaacha kabisa
Sahizi mtoto anaagiza takeaway tu za SeleBonge 🤣🤣🤣
 
Ni tukio la ghafla kama chafya 🤣🤣🤣
Ndoa kwa mwanamke ina pambaniwa sio kuipata pata kirahisi, fundisha dada zako jinsi ya kuwalagai wanaume wawaingize kwenye ndoa kwa kutumia akili na mbinu, kuna wanawake wengine mpaka wana roga kuipata hiyo ndoa, wengine wana inunua, wengine wana gharamikia mchakato mzima, hapa Africa huwezi kupata ndoa on a slaverplate........we always marry accidentally.
 
Sisi wanaume maranyingi tunajuaga tabia za wadada tunaodate nao kama ni mbaya au nzuri,na tukijua dada flani hajatulia,hatumwambii kua anatabia mbaya,ila tunamtongoza ili tupate huduma,na hatumwambii kua tunataka tulale nae tu,hapana bali akiuliza kama tutamuoa,tunamjibu ndiyo,ili tumle tu,ila moyoni tunajua huyu ni kicheche siyo wa kuoa,muda ukienda,mdada anaacha hata kuchukua tahadhari ya kukwepa mimba,mwisho wa siku anaibeba mimba,mwanaume anakataa kumuoa,anasema ntalea mtoto ila siyo kukuoa.
Wadada wengi ambao hawajaolewa na wana watoto,wanajua makosa ambayo wanayo kitabia,na wengine familia zao zinajua kua watoto wao hawajatulia,hivyo hawalaumu watoto wao kutoolewa.MALEZI JAMANI.
Huko umeenda mbali sana kifupi ipo hivi mwanmke usiwe mrahisi kwa mwanaume hovyohovyo.

yaaaani unataniwa tu teyari umelegea sasa hapo utaolewa na nani tutapita tu na kukuacha kama ulivyo.

kingine muheshimu sana wanaume hakuna mwanaume anayetaka dharau kutoka mwanamke(hili ni anguko lenu kubwa sana maana mnatabia ya kuwaheshimu wenye magari tu kumbe hajui waoaji ni haohao wasio na kitu)
 
Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu.

Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.

Yaani mwanume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)

Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno.

Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.

Ushauri : tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo . Hasa hawa wanawakel wa zama hizi ambao hawajausoma huu mchezo vizuri.
Si walipenda magari, watuloe dawa iaaingie. Mwanamke anaweza ku date na mwanaume ambae anajua kabia kaoa, ila kabinti kamekomaa nae tu kisa ka carina TI. Tukiwatokea sisi amabao hatujaoa na hatujafanikiwa kwa lengo la kufanya nao maisha wanaringa. Hawajui hao wenye magari wapo wanawake waliowavulia wakati hawana kitu ndio wamewaweka nyumbani.

Tulieni dawa iwaingie
 
Dada yako mkubwa ndiye aliharibu njia. Wadogo wakaona kumbe ni vyakawaida tuu kuzalia nyumbani.
 
Watu wengi hawajui hii kitu....

Unaweza Kuta dada zake wametulia, wanasifa zote za kuwa wake. Na wanapata watu wenye Nia kweli na wao wanakuwa tayari kuwa wake na kuwa mama.....

Ila kaka zao wanachezea dada za watu huko.....Karma inarudi. Hapo Sasa inawakuta dada zake, Hadi wadada wanabaki kujiuliza wanakosea wapi na kosa hawalioni.

Lakini pia...Maji hufuata mkondo historia ya familia ipoje...kama hakuna kuoa oa au kuolewa olewa inakuwa ni changamoto, ni kukaa karibu sana na Mungu kuvunja Hilo suala bila hivyo mambo yataendelea kizazi na kizazi.

Ndio unakuwa watu wanasema familia ile Huwa hawaolewi, au familia ile Huwa hawadumu kwenye ndoa.

Wakati mwingine ni kuangalia kiini Cha tatizo na kuvunja hiyo minyororo inayotufuata.
Hizo ni myth believes
 
Nakazia hapa
Kwa kweli wadada walizalishwa nyumbani wengi wao hawapo vyema kiuchumi,watoto wao shida zote zinapelekwa kwa Wazazi wa binti na ndugu zake kwa matumizi. Ya watoto.

Kwa kweli Dada zetu hawa ni zaidi ya kero ,starehe zao matatizo unayapata wewe-na lazima tu utamsapport huwezi muacha nduguyo analala na njaa.

Dada zetu punguzeni tamaa,anza maisha na mwanaume yoyote mwenye nia ya kukuoa mali na mengineyo ni majaliwa.
 
Nilichogundua wanaume wa Tanzania waongo waongo tu.

Dada zangu wote mbona hamjawaoa mmeishia kuwapa Mimba tu.

Yaani mwanume ni waongo Sana mlikuwa mnawapeleka guest na Magari leo hii dada zangu wanatembea kwa Miguu kwenda Kliniki (clinic)

Wanaume ambao wapo serious na hawana mpango wa kuwachezea watoto wa watu na kuwafanya single mothers wapo wachache Mno.

Nimeyatafakari haya Maisha ya mahusiano nimebaki Kupata mshangao Sana.

Ushauri : tulieni na punguzeni tamaa za vitu vidogo ukiona Mtu ana gari acha shobo haimaniishi hiyo gari yake ndo upendo . Hasa hawa wanawakel wa zama hizi ambao hawajausoma huu mchezo vizuri.
Karma is real
 
Back
Top Bottom