Hakuna kitu kinaniuma Kama ndugu zangu wote kuzalia nyumbani

Si kweli
 
Hi ishu ya wadada kuzalia nyumbani kwao imekithiri Sana vijijini.
Mama analea Wajukuu 6 na mama zaoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Saa ingine wazazi inabdi uwe mkalii mnoo yani kauzuu hasaa.. Kama unao watoto wengi wa kikee yule wa kwanza akiharibu unamkaziaa asepe aende kwa mwanaume aliempa uja uzito yani unamfungia Milango kabisa..!!
 
Jamaa umeusema ukweli wote.
 
Wapo wadada ambao hawataki ushauri au kuheshimu watu wanaowashauri na kuona kuwa wanabanwa/hawapewi uhuru mwisho wake ndio huo, kupewa mimba na kuachwa.

Wito: Wadada muwe waatifu kwa wakubwa zenu pindi mnaposhauriwa au kukanywa kuhusu mienendo yenu.
 
We akishakuw ana Bwana lake lenye hela na kasoma soma japo hata form four? Na Smartfoni kali. Humwambii kitu. Anakwambia leave my life, leave me alone its me , I ane Myself tena kwa nyodo sana.

Siku hizi nilishaachaga ujinga wa kumshauri mtu mzima mwenzangu. Mambo yake binafsi atayabeba mwenyewe.
 
Upo sahihi kbsa mkuu, ukienda vijijini utakuta msichana mdogo wa miaka 20 tu Ila amezalishwa Mara mbili, inasikitisha Sana kwa kweli
 
Yawezakana dada zako wanarusha sana maji hivyo kupelekea kilimo cha umwagiliaji
 
Dada zetu punguzeni tamaa,anza maisha na mwanaume yoyote mwenye nia ya kukuoa mali na mengineyo ni majaliwa.

Siku hizi ni wachache sana wanaokubali ndoa na mwanaume ambaye anaunga unga kwenye kipato.

Utasikia Nataka mwanaume mwenye kazi au anayejishughulisha na biashara wanasahau kuwa anaweza kwenda kuanza moja kupambana kwenye kuitafuta mali.
 
Umepiga utosini
 
Upo sahihi kbsa mkuu, ukienda vijijini utakuta msichana mdogo wa miaka 20 tu Ila amezalishwa Mara mbili, inasikitisha Sana kwa kweli
Yani changamoto sanaa.. Me bi mkubwa alikuwa anasema Ukizalishaa.. Ukizalishwaa aisee jua Mkataba wangu na wew umeishaa haijalishii una hali gani ya maishaa. Utalea mwanao kwa jasho la damu ila kamwe usitegemee utaniletea mtoto hapa.
 
Wewe si ni mwanachama wa lile genge la Kataa Ndoa?!!!
Usilaumu maana hayo ndo matunda ya hilo kundi batili !!!
 
Dah! Bi Mkubwa alikuwa mnoko sana
Yani changamoto sanaa.. Me bi mkubwa alikuwa anasema Ukizalishaa.. Ukizalishwaa aisee jua Mkataba wangu na wew umeishaa haijalishii una hali gani ya maishaa. Utalea mwanao kwa jasho la damu ila kamwe usitegemee utaniletea mtoto hapa.
 
Yani changamoto sanaa.. Me bi mkubwa alikuwa anasema Ukizalishaa.. Ukizalishwaa aisee jua Mkataba wangu na wew umeishaa haijalishii una hali gani ya maishaa. Utalea mwanao kwa jasho la damu ila kamwe usitegemee utaniletea mtoto hapa.
Ndio tunahitaji wa mama wenye msimamo kama hao. Hao sasa ndio masuper woman
 
Tamaa ndio inayo ponza sana wanawake , wanaume waoaji siku zote hawanaga kitu...ni hawa hawa wanaojiita wapambanaji ndio hamuwataki ila ndio waoaji sasa
 
Taja kabila na ukanda unaotoka. Kuna kabila wao kuzalia nyumbani nikawaida Sasa ukute unaumia Bure kumbe ni ka utamaduni ka kabila husika.
 
Mkuu unawajulia sana. Ndo majibu yao hao[emoji10][emoji10][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…