Hakuna kitu kinatokea kwa bahati mbaya katika siasa ya Bongo

Nakumbusha tu mtaji wa mwanasiasa ni matatizo yako. Usiwaamini hata kidogo.
 
Hakuna cha kitabu wala nini. Waweke tume huru na kubadili katiba ndiyo utaijua hiyo nguvu ya hicho kijitabu.
Shida yenu mnaishi kwa kukariri maisha yaani mpaka muda huu hujaelewa unapoambiwa kuna elites na hao ndiyo waasisi wa vyama unavyoshabikia.
 
Uandishi tunatofautiana. Mimi hupendelea lugha ya picha au ya kufumba.
"Elites" maana yake ni hii.
 

Attachments

  • Screenshot_20200713-235814-1.jpg
    10.1 KB · Views: 1
Hakuna taasisi isiyo na Ofisi ,inayoelea angani itakayoweza kuchukua dola.Chadema inaongozwa na Mtu mbinafsi kubali usikubali,mtu mwenye Malengo binafsi ya kupata manufaa ya kibinafsi na watu wachache na sio umma anaouongoza.
Ndani ya Chadema ya Mhuni na Tapeli Mbowe ,Watu wanapiga hela za manunuzi ya bendera,T-shirt, vipeperushi,kofia, Magari, na Kupangishia chama majengo binafsi kwa gharama kubwa. Hivi kwa akili yako unaona ni sawa kuendelea kuacha Chama chenye Wanachama zaidi ya mil. 6 kipangishe Ofisi kwenye majengo ya watu binafsi hulo Uchochoroni na kulipa Pango la nyumba ?? Mnaakili za kichwani kweli au mnashikiliwa na Ubinafsi uliowajaa mioyoni mwenu. Siasa haziendeshwi na uroho Bali na roho za watu wenye nia Njema zikiongozwa na Roho wa Mungu.
Hujiulizi imekuaje Chadema ilikua inawatu wengi wa hali ya chini lakini ghafla upepo umebadilika wanyonge hawataki hata kumsikia Mbowe zaidi ya mabwanyenye ndani ya Chadema . Yote ni kwa sababu ya kumkumbatia mtu mwenye nia Ovu kuongoza chama.
CCM ilipoteza sifa za kushika dola ilipojichanganya na kufuata Njia Mbaya kama anayoifuata Mbowe kwa sasa.

Nani alikua kuwa Chama cha ACT kingeibuka ghafla na sasa kinajiandaa kuingia madarakani kule Zanzibar na kuitoa CCM jasho huku Bara mwaka huu?? Jibu ni kuwa nia ya dhati ya Zito ndiyo nguvu ya kiroho inayowabadili watu na kukiona hicho chama kama chama Mbadala. Sababu ya kuibuka kwa ACT ni upofu wa mtu mmoja mbinafsi anayetaka kukihodhi chama kama Mali yake binafsi huku akiwatumia vijana wa makabila mengine kama Makaratasi ya kuchambia. Huyo Mbowe Hata fanikiwa milele kukiingiza hicho chama Madarakani kwa ubinafsi alionao kwa sababu watanzania wa hali ya chini wameshamshtukiza kuwa sio mtu mzuri kabisa kabisa.

Ndio maana nasema kamwe Chadema haitaingia Ikulu kwa nguvu ya wajinga. Ni bora kuwafagilia mbali wajinga wote wabaki watu wenye akili na nia njema wajenge nchi. Tanzania sio kama unavyoiona kwa nje na kusikiliza mawazo uchwara ya kina Mbowe na wapuuzi wenzake.

Hii nchi ina misingi yake iliyowekwa na waasisi wa Taifa hili. Mbowe asiporudi kwenye misingi ya Ujamaa na kujitegemea asahau kuingia madarakani na hicho Chama chake kinachokaa kwenye Ofisi ambazo ni nyumba za watu binafsi huku akidanganya wajinga kuwa Ofisi hazina umuhimu wowote. Wanapanga hayo majengo kwa nini sasa kama Ofisi hazina umuhimu. Si wangekaa nje mitaani kama ilivyo kwa wamachinga wasio na maeneo rasmi ya biashara. Nyerere hakuwa mjinga alipowaunganisha watanzania kujenga Ofisi za chama nchi nzima kwa nguvu zao. Tulichanga sh.1 enzi hizo tukiwa shule ya msingi kujenga Ofisi za Chama za Wilaya mpaka Leo zipo na zimekua ni mradi wa chama. Ilikua ni kazi ya Baba wa Taifa asiyekuwa na ubinafsi kama Mlevi Mbowe.

Nakukumbusha tu kuwa Mtu yeyote hataweza kuingia madarakani kama etaenda kinyume na Misingi hiyo iliyojengwa kwa nia njema . Na hata akiingia atatolewa mchana kweupe endapo ataenda kinyume na misingi hiyo.

Chadema ilipata umaarufu mkubwa na kujenga imani kwa Wananchi kwa sababu ya CCM kupoteza misingi hiyo.
Leo hii Magufuli amejitahidi kuirudisha nyie ndio mnataka kuturudisha kwenye Uhuni wa watawala waliokua wamepoteza misingi ya Taifa letu.
Mbowe anatumiwa na Mabeberu kuihujumu nchi kwa tamaa yake ya kuingia madarakani ili achote fedha zote za hazina akijifanya ni fidia ya kupigania Chama . Kama anaona biashara ya siasa hailipi aachane nayo lakini asitumie umma kujinufsisha.
Mwakani tutahakikisha ruzuku zote zinafutwa kwenye vyama vyote . Miaka 28 sasa inatosha kwa wapinzani kujiendesha vyenyewe ,sio kutumia pesa za umma kuwanufaisha wanasiasa wanaopinga maendeleo na kujaza chuki kwa watananzani kwa Malengo yao binafsi wakiongozwa na Muovu na Kafiri mmoja anayeitwa Mbowe. Kama kazi ya Mbowe na Chadema yake ni kuandaa umma ufanye uasi na sio Chama cha kufanya siasa za hoja na kusapoti maendeleo ya wanyonge kwa Hoja basi nakuambia Hatupo tayari kuona nchi hii inachukuliwa na Chadema chini ya Wakala wa Mabeberu na mabwanyenye, Mwizi ,mhuni Kabisa Mbowe. Tutaipigania nchi hii kwa nguvu zote amini usiamini. Hiyo nguvu ya umma mnayoisema haipo kwa sasa imebaki nguvu ya wahuni ,Malaya Malaya, wasaliti wa nchi hii, walevi ,wavuta bangi, na watu wabinafsi,wezi wa mali za umma, mercenaries wa Mabeberu ; tutawasaka popote walipo na kuwatia kizuizini nchi irudi kwa wananchi wa kawaida ambao ni zaidi ya 85%.

Najua Mbowe ni Mlevi wa kupindukia bado yupo kwenye Baa anavizia Mlupo wa kuondoka nao japo bado ni majeruhi.

Muongezee Mbowe Konyagi Moja!!

 
Akili yangu imegoma kuamini ulichoandika mkuu..

Ikiwa mambo hupangwa na kuratibiwa na hao ' Elites ' , kwanini tunaona matumiz ya nguvu kupita kiasi.
Magereza
Police
Mahakama
Uvccm

Jeh ThinkTank wameishiwa maarifa.
Kwanini waruhusu wakosoaji kupotezwa.

Kwanini image ya Rais Maghufuli ichafuliwe na wasiojulikana..

Kwanini wabariki sheria za kioga oga
Na kandamiz ikiwa wao ndio wapishi wa kila ktu. Sheria za sijui takwimu. Huduma za vyombo vya habari. Kinga ya kutoshtakiwa.. nk
 
Nimesoma huu uzi. Nikajiona nipo sehemu ambayo sio dunia. Ila nikiangalia yanayoendelea wala sioni ukubwa wa akili hiyo. Wangeruhusu uhuru wa kisanduku tu.
 
Mkuu hapa ni mada juu ya mada. Akili yangu ni kama yako.
 
Wewe hujui tokea TANU hadi CCM mali zote za chama zililiwa na vigogo wa chama?
SUKITA ipo wapi?
Umesahau katibu mkuu mmoja wa Taifa alikuwa anachota pesa za frame na car pack miaka yote?

Umesahau Report ya uchunguzi ya Bashiru kama angeisoma hadharani TAKUKURU angefunga chama chenu kwa sababu ya ufisadi uliokubuhu?Grand corruption?

Hata Dangote alionyeshwa ofisi ya Lumumba badala ya kupelekwa Tanzania Investment Center kilichotokea tunakijuwa.

Watu sampuli yenu mnatisha,kumbe kelele yote hii unatafuta pakushikia?Magufuli ameishasema ndani ya CCM hakuna kitu ndio sababu anateua wakimbizi wakati CCM damu damu mmejaa.
Imekula kwako.
 
Yule ni kama kawa ni agent,tatizo atakalolipata sasa hivi ni kwamba huku mtaani wajuba wote wamemshtukia kwamba yeye ni pandikizi tu.
Sasa mbona mnamkumbatia?.
By the Way, si ni jasusi wenu mbobevu huyo? Na akiguswa ananuka?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Waling'atwa na nyoka awarudii kosa,naona mazungumzo yake na CDM yaligonga mwamba anajaribu ACT.Ila ACT wakirudia kosa la cdm 2015 kuyapa mapandikizi leseni za udereva watavunja mioyo ya wanachama wao.
Kumbe yale ya 2015 yalikuwa makosa?

Mbona tuliwaambia moashupaza shingo mpaka zilipovunjika ndio mnagutuka?
 
Kumbe yale ya 2015 yalikuwa makosa?

Mbona tuliwaambia moashupaza shingo mpaka zilipovunjika ndio mnagutuka?
Hadi matokeo yatokee ndipo unakuwa tomaso,Safari mbobezi amelamba garasa.Hii mbinu chakavu waliitumia 2015,ACT wakimeza tu ndoano watazigawa kura za CDM na kuipalilia ccm iendelee kutusomesha namba again
 
Ujinga katika hii post ni Kuamini na kuaminisha wengine wote kuwa mpinzani wa kweli nchini ni Mbowe na ujinga zaidi ni kuamini Zitto alianzisha chama ili aimalize Chadema

Lakini ujinga wa mwisho katika post hii ni kushindwa kutambua mchango wa Zitto kuisimamisha upinzani uliopo nchini na kuifanya serikali isipumue
 
Kuna mambo mawili au matatu amboyo ni msingi wa kudumu kwa vyama dola vyenye mlengo kijamaa.
Moja ni dola ndio maana vinaitwa vyama dola. Mbinu zote za kidola ikiwa ni pamoja sheria, ubabe nk. hutumika kuvibeba vyama dola
Pili ni propaganda kuwaaminisha watu kuwa upinzani ni uadui.
Tatu ufahamu mdogo wa raia. Tuseme ujinga. Hili la ujinga likimalizika vyama dola vitapata shida sana. Mjinga akierevuka mwerevu yu mashakani

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
eti ndugu zito na chama chake kichanga alitoa wapi pesa 2015 yaku mzungusha mgombea urais tanzania nzima? labda unajua
 
mtoa mada frika yako pana sanaaa heshima kwako
 
Ndoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…